Recent content by mtoto wa mvuvi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

    Chadema na ukawa Kutangaza nia kwenye kata majimbo yanayongizwa na CCM ruksa sasa je mbona kwenye uraisi hawatangazi au Raisi ni UKAWA? Wanachama was chadema na ukawa wanaperekeshwa kama magari mabovu kweri mijitu imeshikwa akiri wewe unayejita mwanachama wa chadema tangaza nia ya kugombea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Waongeza Nguvu Mtwara

    BAVICHA ilikuwa ya Heche hawa wasasahivi bora liende wasakatonge tu hawana lolote wababaishaji chadema inakufa mikononi mwao mwaka huu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja apongezwe kwa hili

    Ngeleja ni jembe sana ana upeo na uwezo Mkubwa sana sema majungu ya wapumbavu wa chache tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja apongezwe kwa hili

    Ngeleja kama wabunge wengine anastahili kuomba na kupewa ela kwajiri ya jimbo lake mbona hata serikari yenyewe inaomba nje,hata CHADEMA wanaomba pesa ujerumani au wanafanyaga harambee pale Serena na kwingineko kutafuta pesa za kufanyia harakati sasa kwanini wakifanya wabunge inaonekana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja apongezwe kwa hili

    Wewe unamatatizo yani hujui umuimu wa mchango wa ngeleja kwenye hi nchi,haswa alianzisha manunuzi ya mafuta kwa pamoja kufuta sheria kandamizi ya madini kuanzisha mrad Mkubwa wa gesi umeme vijijini Hivi kweri hujui haya au unajitowa akiri kusudi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja apongezwe kwa hili

    Ngeleja angendelea kuwepo kwenye nafasi yake ya uwaziri had Leo asilimia zaid ya 50% ya vijiji vya Tanzania vingeshawekewa umeme ,Ngeleja ni mchapakazi sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Hongeleni wazee wa sengerema kwa kujua ukweri Ngeleja ni kijana mchapakazi, jasiri,muwazi nanimcha mungu sana ,watanzania tunalijua hilo ,mungu azidi kumpigania Ngeleja.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Mawazo yako mafupi kama maisha ya funza kwani kuna Mtu special kuwa raisi? Ngeleja uwezo wake Mkubwa sana hauwezi kuyumbishwa napropaganda za wasakatonge kama wewe unayetumiwa kama dekio.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Wewe kioju hujui nini unazungumza au hujui nini unafanya Ngeleja amesaidia chama chake cha CCM kimepata 83% dhid ya17% za CDM richa ya kashfa za kinafiki na zakuzushiwa za escrow, we kioju unazungumza propaganda tu na siasa za maji taka lakini unajua kuwa ngeleja uwezo wake Mkubwa na ana legacy...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Nadhani wewe unamatatizo muone doctor,yani kwa umri wako hujui mchango wa ngeleja hapa nchini haswa kwenye nishati na madini,au wewe sio MTanzania.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Ngeleja nikiongozi asiye na papala huwa akurupuki kufanya mamuzi take, safi sana ngeleja kwa kutu weka wazi watanzania mungu akubariki sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

    Sasa wewe ulitaka ajenge barabara ya kwenda kwa mchepuko wako, Ngeleja ni mpango wa mungu .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    wewe ndo huna akiri unapingana na ukweri naukiendelea kupinga ukweri ikosiku utapinga jinsia yako Ngeleja nikijana anaye jitambua.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    sisi tunazungumza takwimu za jumla licha ya hivyo Ngeleja uwezo wake mkubwa sana.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa vipimo hivi Ngeleja kawapita wanasiasa vijana ndani ya CCM

    ukiona hivyo watanzania wamegungua pumba na mchele Ngereja ni jembe na tegemeo la watanzania.
Back
Top Bottom