Mzee Mohamed heshima yako!naona post zako nyingi unajitahidi kurekebisha historia;hongera sana!Je makusudi hasa ni yepi?Maana unaandika katika namna inayeonyesha Waislam kuonewa!
Ni kweli kwamba haufahamu zama hizi kuna familia zinazoishi na ndugu wa dini tofauti ama kwa ndoa au makuzi!Kulikoni...
Tuttyfruity,
Hawa waZambia na mataifa ya kusini yote yajifunze kuwa na shukrani, sehemu kubwa ya madeni ya nchi yetu ni kwa sababu nchi hii ilijitoa kwa ajili yao! Zambia haina bandari na kwa nia njema mzee KK na Mwl waliingia madeni ya kufinance barabara ya TANZAM ,bomba la mafuta TAZAMA na...
Kazi nyingine ni zipi ndugu yangu betting au kucheza korokoro au karata tatu!?
Fanya kazi mafanikio yatakuja kulingana na fursa za wakati huo acheni kupenda miteremko!ndo maana siku hizi vijana wengi mjini mnaishia kuwa punda au kulelewa na mijimama kama siyo kushinda kwenye mikeka ya...
Vijana fanyeni kazi acheni kupenda shortcuts!pata basic needs kisha ukiweza kupata saving invest!sio kuwa billionaire in a daylight.Mtaishia kufanya biashara haramu
Mzee Mohamed heshima yako leo naomba niulize swali, hivi asili yako wewe haswa ni wapi!? maana kila kwenye andiko lako aghalabu uzungumzia lafidhi ya awali ya Mwalim.
Pia unajitabaisha kuwa wewe ni mswahili lakini hata waswahili wenyewe wana lahaja zao kulingana na wapi wanatoka na wala...
Mheshimiwa Rais tunatambua uzuri wa zoezi unalofanya la kuhakiki wafanyakazihewa na kutoa nafasi kwa kwa vijana kupewa nafasi za uongozi.Lakini jambo moja tunalojiuliza je Misitu nayo ni kada hadimu mpaka watu waliokwisha kustaafu waongezewe Mikataba?Mfano ni Meneja wa Kituo cha Mafunzo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.