Mtoto wa Mkulim
Member
- Jul 24, 2009
- 12
- 16
Mheshimiwa Rais tunatambua uzuri wa zoezi unalofanya la kuhakiki wafanyakazihewa na kutoa nafasi kwa kwa vijana kupewa nafasi za uongozi.Lakini jambo moja tunalojiuliza je Misitu nayo ni kada hadimu mpaka watu waliokwisha kustaafu waongezewe Mikataba?Mfano ni Meneja wa Kituo cha Mafunzo ya Misitu SUA,olomotonyi Arusha.Mzee huyu ameshastaafu lakini bado yupo ofisini je ni nini sababu wakati anaziba nafasi za vijana kuajiriwa.Tafadhali wasaidizi wa Rais msaidieni hili ni Jipu!!