Recent content by Mtoto wa kihehe

  1. M

    Dr. Slaa amuige Mnyika kujibu tuhuma za Mtela Mwampamba dhidi yake

    Tusilumbane kwa hoja zisizo za msing watanzania, tambuen ya kwamba tunajidhalilisha wenyewe maana mcdhan ya kuwa kila anayetoa mawazo jf anatoa jina kamili, kwaiyo unaweza ukaona unalumbana na viongoz wakubwa umu na usijue, kwaiyo 2jitahd kujenga hoja za msing kwani jamiiforums imetupa uwanja...
  2. M

    Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

    Hakuna lolote, JK ni kinyonga maana uyo mkuu wa mkoa asingeanza kumwacha wenje hivi2 ila ni chuki ambayo aliitengneza na hawa waliounga mkono chuki hiyo wanazd kuyumbshwa. kwaiyo mkuu wa mkoa alitimiza maagzo ila jk baada ya kuona hali c nzur ikambd avunje utaratb wao wa siri.
  3. M

    KINANA:Tanzania sio MASKINI tatizo URASIMU hasa WATENDAJI

    Kwaiyo nani alaumiwe sasa, viongozi wenye dhamana au wananchi waliotoa dhamana kwa viongozi? ama kweli nimeamin usemi wa vitabu vitakatfu kwamba Mungu akitaka kumwadhbu kiongoz yeyote kwanza humtia upofu ili change ije.
  4. M

    James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    Shoza na bananga kama wanajielewa na kujitambua ebu wahame kwa mwigulu kwanza
  5. M

    Manji akana kujiunga CHADEMA

    Hana jpya uyo
  6. M

    Lissu aigomea CCM,CHADEMA wahamia Dodoma kumuunga mkono

    Kinana bwana, aaah wacha mm nicheke tu teh teh teh teh...alipoingia hapo cpo.
  7. M

    Mbio za Mwenge; Simai asema vyama vya siasa(CHADEMA) vinapewa fedha kuvuruga Amani

    jaman kimsingi ata mm nashandwa kuelewa juu ya huu mwenge kama upo kitaifa zaid ama kchama...maana yale mavaz ya kijan cjui yanatafuta nn yan alaf pia uyo kiongoz wa mbio nae hajielewi.
  8. M

    Mtwara wajipanga Kuugomea Mwenge wa Uhuru

    Unajua serikal sikivu inashndwa kuwasikia wanamtwara ambao wanahoj kwamba watawaachaje bila kuwapa cha juu, kwa iyo wana hak ya kudai hadi kieleweke
  9. M

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Naungana na serikal kupandsha gharama kwa walmu wa kgen kwan n halal kutetea wazawa, hvyo kama shule bnafsi zina ubnafs had kwa wazawa naomba zibadilike maana cha msingi n kupata walmu wazawa ambao watahudumu kama hao wagen
  10. M

    Wananchi wa mbeya walia na SUGU

    Mpen vidonge vyake uyo anaejikomba kwa magamba
  11. M

    Kwa nini Lissu alidanganya bunge?

    Wewe ndo unatudanganya sisi ila lisu yupo sahh
Back
Top Bottom