Recent content by Mtoto Tajiri

  1. M

    Plate number za kigeni(SADC) -Tanzania

    Huwa ni miezi mitatu mkuu,kwa gari ndogo unalipia 25usd na gari kubwa unalipia 107usd kwa miezi mitatu,ikitokea dharura unaweza kuongeza siku,pia ukitaka kuisajili unakwenda nayo TRA,nadhani umenielewa
  2. M

    Magari Magari

    Njoo tupeane connection ya magari used kutoka hapa hapa africa,kuanzia spea za hiace used,Rosa,canter,Landscuzer,scania,njoo tuyajenge
  3. M

    Naomba kufahamu bei ya Hiace

    kweli hovyo kabisa!any way 25-30ml
  4. M

    Nisaidieni vitu gani vya kukagua inaponunuliwa injini used?

    unataka kununua Engine ya Petrol au Diesel tuanzia hapo!
  5. M

    Njoo tufanye biashara

    uoga wako ndio umaskini wako
  6. M

    Njoo tufanye biashara

    kwa yeyote anayetaka magari used au spea za magari kutoka mozambique njoo pm
  7. M

    Kupanda gari za magazeti,nimekoma

    Sioni kama kuna jambo la ajabu hapo!kutembea speed 160 mbona kawaida tu!
  8. M

    Natafuta sehemu inayofundisha kudance kwa hapa Dar

    mmmmh!kweli dunia tambara bovu
  9. M

    Natafuta Liquid Rubber/Silcone

    Yaani hadi silcone mnakuja kuuliza Jf!itafika kipindi mtatuuliza mle nn leo!
  10. M

    1kz engine inafaa?

    Ni kati ya Engine bora!ninayo inayopiga daladala 4years now
  11. M

    Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Watanznia kwa sasa naona wanashangilia hali ya umaskini inayoendelea Tanzania,hii ni akili au Matope?
  12. M

    Wanasheria naomba mnisaidie hili

    mkuu vumilia utakuja tu kuelewa mchezo!Ukishakomaa ndio utakuja kugundua kumbe faini ya Laki unapunguza tu sifuri moja na mambo yanaenda!,Dereva atawekwa ndani tu kama amegonga ameuwa mtu au amesimamishwa akusimama na wazee wakamfukuzia wakamkamata
  13. M

    Jamani biashara hii ya daladala ni pasua kichwa

    Umeshatoa hitimisho kuwa ni biashara kichaa! Sasa unahitaji ushauri wa nini? Nipo kwenye biashara ya Dalalada long time ago na sifikiri hata siku moja nitakuja kuacha!kama vp tufanye biashara hiyo hiace uliyonayo uendelee kufundisha.
  14. M

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    kwanza ukiingia Japan watz wakikuona wanaambizana kabisa kuna ng'ombe wa maziwa ameingia!kwahiyo watafanya juu chini wakutapeli vijisenti vyako!na ukishastuka wanakwambia tu ukweli ukirudi Tz tutafutie ngo'mbe tukiwakamua na ww utapata chako!Inawezekana mtoa mada anatafuta ng'ombe wa...
Back
Top Bottom