Recent content by mtoto mzee

  1. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kumbuka uwanja wa watu type yako ni FACEBOOK. Hapa ni kilinge cha wenye GREAT THINKERS
  2. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Mkuu Elungata, nimekufuatilia sana post zako. Nilichogundua we ni bado mtoto, either wa sekondari au unaesubiri matokeo ya kidato cha nne. Kila unachoandika ni PUMBA tu.
  3. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kweli wewe BONGO LALA. Huna mashiko na kauli zako chafu
  4. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Tatizo ni kwamba, vifo vya ndugu zetu vinataka kufanywa siasa.. nani asiyejua kinachoendelea??? Hata Mv Spice ilizama na Tv zilipiga miziki bila kutangaza hadi baadae sana... kila mtu mwanasiasa Tz
  5. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Hauna jipya! Tunajadili upuuzi wenu we unaleta mambo ya kutaka ubishani wa maandiko.. jipange kabla ya kuropoka
  6. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kama unawaza hivyo, kwa nini waislamu msiwe na bucha zenu???
  7. M

    Kisandu: Zitto Kabwe avuliwe ubunge kwa kukosa uzalendo

    Tatizo letu Wadanganyika tumekuwa na ugonjwa wa kutaka na kuamini tume tu. Kumbuka pia kuundwa kwa tume huwa ni njia mbadala ya kuzima hoja.
  8. M

    CCM wamhusisha Karume na Uamsho

    skin colour haihusiani na UAMSHO. Jenga hoja ya msingi acha kuleta sera za RACISM.
  9. M

    Mabomu Zanzibar.

    Uko sawa kabisa, ila jitahidi uwe na HOJA za msingi.
  10. M

    Mabomu Zanzibar.

    acha wapewe adabu yao hawa UAMSHO! Samaki akunjwe angali mbichi. Watakuja kusumbua hawa wakidekezwa.
  11. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    acha kumpotosha mwenzio! Ni sawa na kubisha kwamba imepata ajali Coster na sio Basi! Meli na Hiyo unayoita boti zote ni Marine Passengers' Vehicle. So umemwelewa ila unataka kujenga ubishi tu.
  12. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    Kuna alie na taarifa juu ya idadi ya maiti zilizopatikana hadi sasa? Tujuzane jamani.
  13. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    ndo hapo, lakini kidogo wamenisaidia mi mTZ kujua kinachoendelea pande za home. Nlikua nimetune cloudsfm online, walitangaza kama mzaha tu.
  14. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    hata mimi niko Kenya, CitizenTv na KBC wamekua wakiupdate tangu ajali itokee. Kumbe Makinda hakuwa na taarifa
  15. M

    Meli ya MV Skagit yazama

    Hivi Jah Kaya yupo kweli? Si ajabu atakua kaondoka kwenda SA kula bata la sherehe ya Madiba.
Back
Top Bottom