Recent content by Mtoto mkubwa

  1. Mtoto mkubwa

    Biashara ya miwa

    Wakuu nataka kufanya biashara ya miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. ko nlikua naomba kwa anaefahamu anijuze kama ntachukua vijana wa kuniuzia niwape mtaji na kokoteni kwa siku huwa wanaleta shngap na biashara inaendaje kwa ujumla. Ahsanteni..
  2. Mtoto mkubwa

    Ninahitaji kujifunza 2D animation

    Thanks kwa kiongozi.
  3. Mtoto mkubwa

    Ninahitaji kujifunza 2D animation

    Aliexpress. 60k hadi milioni zipo, ni wewe na bajeti yako tu. mimi hiyo nmennua 88,750 Tsh..
  4. Mtoto mkubwa

    Ninahitaji kujifunza 2D animation

    HABARINI za muda huu Wakuu, mimi ni kijana nimeenda age kidogo, kwasasa nipo chuo mwaka wa3. Nilikua natamani kujua kutengeneza animation since 2016 ila sikua na wakunisapoti nilielezea hili suala kwa familia ila walilizalau. Sasa hivi nahitaji kujifunza kwan nimeshanunua tablet Xpen mini deco...
  5. Mtoto mkubwa

    Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex...
  6. Mtoto mkubwa

    MTI WA KRISMASI..?

    Naomba nifaamishwa ni nini maana ya mti wa krismasi. maana naona ona tu cjui hata maana yake hasaaaa..
  7. Mtoto mkubwa

    Handsome-up..

    m'babaishaji huyo. wikipedia hii hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
  8. Mtoto mkubwa

    NAHITAJI TESTIMONIAL

    hili ni bonge la problem.. na laiti kama ungekuanalo ww, ungeipata freshy.
  9. Mtoto mkubwa

    NAHITAJI TESTIMONIAL

    Eti nyie viumbe mliokuemo humu. nahitaji kujua kama kweli kuna dawa za kuongeza Dushe (Uume). kama kunamtu amewahi kutumia dawa yoyote na amefanikiwa nijue ni dawa ipi hiyoo...
  10. Mtoto mkubwa

    Handsome-up..

    Naomba kuuliza, Ntapata wapi hansome up, kwa hapa dar. anaejua anijuze na je beiyake shilingi ngapi, Ahsante..
  11. Mtoto mkubwa

    Msichana wangu anashindwa kunitaja jina kwenye simu

    Mxhamba hawez kuelewa hata akieleweshwa
Back
Top Bottom