Recent content by Mtotigite

  1. M

    Gari inauzwa toyota sprinter

    Nauza toyota sprinter ya mwaka 2001,imetumika hapa Dar namba B,ni Automatic,km 116000 Tsh 6,000,000 kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia namba 0784876210,nitamtumia picha.
  2. M

    Msaada wa mashamba pori Bungu au Ikwiriri mkoa pwani

    Mkuu mi niunganishe na huyo wa msolwa
  3. M

    Employment opportunity for Civil engineer and quantity surveyor

    Dear members our company is looking for 2 Civil engineers and Quantity surveyor Civil Engineer (i) Looking for Graduate civil engineer with 2-5 yrs working experience on road works an engineer with full technician certificate will be an added advantage. (ii) Looking...
  4. M

    Januari Makamba,kwanini unatulazimisha kusoma kitabu chako?

    Tatizo letu huwa hatubishani kwa hoja wewe kama hujaona umuhimu wa kusoma ungetulia wengine wakasoma kwa karne hii alichokifanya january ni cha kupongezwa soma hoja alizoweka katika kitabu chake hasa namna ya kuwa na uchumi wa kikanda kwa manufaa ya taifa utaona jinsi alivyo na upeo wa mambo...
  5. M

    Office inapangishwa Mwenge

    Kwa waliojiajiri wanaohitaji office kuna ofisi inapangishwa Mwenge maeneo ya kituo cha daladala cha Tegeta kwa anayehitaji tuwasiliane 0784876210, Office hii haiwezi kutumika kama frame ya duka ni kwa matumizi ya office tu.
  6. M

    Lenovo tablet for sale

    Habari wana jamvi nauza lenovo tablet bei sh 350,000 kwa anayehitaji tuwasiliane 0784876210
  7. M

    Nissan Patrol for sale

    Habari wana jamvi nauza gari kama linavyoonekana katika picha ni NISSAN PATROL Bei 12 Million kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0784876210 mazungumzo yapo.
  8. M

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Ukisikia kichwa cha mwendawazimu ndo nchi hii kwa elimu yangu ndogo na upungufu wa takwimu nilio nao jumla ya madaktari walioko hapa nchini hawazidi 5000 ninazungumzia MD kila Wilaya ina MD Mmoja ambaye ndo huwa mganga mkuu wa wilaya wengine ni AMO,CO,na wenginewe,pia nina kisia kila mkoa una MD...
  9. M

    Shamba ekari 6 linauzwa Kibaha kwa mathias

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa kibaha kwa mathias kilometa moja kutoka morogoro road ni eneo flat linafaa kwa kujenga yard,shule au matumizi mengine kwa anayehitaji wasiliana na Swedi 0654085257
  10. M

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 inahitajika maeneo ya kinondoni,makumbusho,mbezi beach,mikocheni,kijitonyama au sinza wasiliana na 0754552128
  11. M

    Mafisadi kuhamia CHADEMA?

    Chonde chonde Chadema mnaona wenzenu CUF wanavyozimika kama moto wa mshumaa, licha ya hii taarifa ya gazetini tayari kuna taarifa za ndani ya chama kutaka kupewa msaada na mafisadi ili kujiimaarisha tunaonya tena. TUNAONYA Chadema kutochukua senti moja ya hawa mafisadi maana mtafikiri ni siri...
  12. M

    Can You Marry A Jobless Man?

    Love they say is blind. But that no longer seems true today as our women and girls are becoming more exposed, on the issue of love and marriage. Getting married is one thing but marrying a man who can carry out his responsibilities as father and husband in the home is another. This is why we...
  13. M

    Plots for sell

    Kwa bei hiyo ni sawa viwanja vya size hiyo ndo bei zake,labda kikiwa chanika ndo kitakuwa na bei chini kidogo lakini mbezi,kimara,boko,buju is allmost the same price
  14. M

    Shamba linauzwa kigamboni

    Shamba linauzwa Liko Kigamboni Km 27 toka kigamboni ferry nje ya mradi,unapita njia ya Dar es salaam zoo ziko zaidi ya heka kumi kila heka Tsh milion moja halijapimwa.Kwa wahitaji piga 0784876210
  15. M

    Unahitaji huduma ya kutengeneza gari lako?

    Tuko Dar es salaam,ukisoma kwenye advert yetu pale juu utaona location.
Back
Top Bottom