Recent content by Mtoroka karne

  1. Mtoroka karne

    Mfalme Zumaridi, Kipimo kingine cha imani na mtihani mwingine kwa mamlaka

    kitu kinachonifikirisha mpaka sasa ni kua,je hilo jumba ni la kwake?,na huo msafara wa hayo magari yaliyoandikwa jina lake ni ya kwake pia?,kavitolea wapi huyu mwanamama?
  2. Mtoroka karne

    Mfalme Zumaridi, Kipimo kingine cha imani na mtihani mwingine kwa mamlaka

    yaani ndugu kama unaweza kusimama hadharani kumtetea alichofanyiwa ofisa yule,basi sitashangaa ntapogundua kua wewe pia ni askari polisi!.kw namna hawa polisi wanavotufanyiaga si raia mi nlitamani hata wagedundwa mpaka wavunjike viuno.,
  3. Mtoroka karne

    Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Basi tufanye ya dona country
  4. Mtoroka karne

    Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    calfonia ya marekani au calfonia ya shithole country?
  5. Mtoroka karne

    Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Hivi wakuu kuna huyu miss tanzania wakuitwa Richa adhia yule muhindi alipoteleaga wapi ivi?l
  6. Mtoroka karne

    Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Huwa nasononeka sana kumuona mtu nnayeamini amesoma akiamini na kuyasadiki mashudu anayoyasoma mtandaoni..Eti familia za kiluminati,mara et zinamiliki dunia, pole sana brother,ila dunia nnayoishi mimi haimilikiwi na binadamu yoyote yule,labda unayoishi wewe
  7. Mtoroka karne

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Samahan mr tanesco!,ivi wewe ni ke au me? Natafuta mke mtanesco
  8. Mtoroka karne

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Jina. mzee noninale mbitiyapi ng'waniihtako Umri miaka 78 Kazi. Uchawi/Uganga Mahali. Gamboshi Bariadi Natafuta wa kubadilishana nae dawa. Za Samba au Ndagu
  9. Mtoroka karne

    Rihanna ategemea kupata mtoto wa kwanza na mwanamuziki Asap Rocky

    😎 yaani msanii nnaemuelewa amekua bwege tena?
  10. Mtoroka karne

    Kwanini kampuni nyingi za teknolojia zinamuogopa Apple

    Hata mi nlisikiaga marekani wanamlipaga mjapani mabilioni ya dola kila mwaka kwasababu ya yale mabom ya nuclear
  11. Mtoroka karne

    Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Kabisaa.,kuna jamaa hapa nlikua nawaelzea mechanism ya electromagnetic waves kwa kiswahili,wallahi ilifika mda hadi mi mwenyewe muelezeaji nkawa naona manyota nyota kutafsiri
  12. Mtoroka karne

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hahaa wameamua kuileta kwenye page yao kabisa
Back
Top Bottom