Recent content by Mtora

  1. Mtora

    WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    kuna vitu vinatofautiana hapo kubatizwa,kufungiswa ndoa na hayo mbo mengine wanaweza Fanya kwa kuwa Mungu aliwaruhusu ila kwenda kuungama tena wengine kwa kutembelea Magoti mbele ya mapadri hiyo ni kufuru.... wa kutubu mbele yake ni Mungu peke yake na kumweleza dhambi zote.......sharti kila...
  2. Mtora

    Dharau mchecheto hizi

    Tatizo la wabungo hili Mbongo alieajiriwa ofisini, mwenye kipato cha shilingi laki tano au pungufu kwa mwezi anamdharau mtu aliejiajiri kuuza nyanya anaepata kipato cha mpaka millioni 2 kwa mwezi. hajuai kama ajila ni kama utumwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mtora

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    sasa nikuulize tu iyo saa ina dhamni ya hiyo 5M kwani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mtora

    WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    padri ni binadamu wa kawaida kabisa anacho takiwa padri kufanya ni kukufundisha kuwa hiki ni dhambi na hiki ni harari hivyo unapo tenda kosa ukiongozwa na roho wa Mungu unakumbuka padri alikwambia kuwa ni dhambi basi unamwambia MUNGU peke yake juu ya dhimbi husika basi ungamo na toba yako...
  5. Mtora

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    basi kama raia wakiibiwa na huku serikali ndo imewaruhusu hao jamaa wafanye kazi hapa Bongo ....basi udhaifu utakuwa ni kwa Viongozi kwa asilimia 100% hapa huwezi walaumu raia wanaoinda kujoin nao. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mtora

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    uisha liwa kuda deki yaan Manchester City vs Liverpool hawa unawapa 2FT Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mtora

    Hivi wanaume mna-deal vipi na wadada ambao wanasema wanakuja halafu hawaji?

    ukiona hivyo jua haikuwa zamu yako kudeki chumba
  8. Mtora

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Shida ipo kwetu Watanzania hujafwatilia na kujua uhalali wa kampuni Tunakurupuka kuwapa pesa.... Tutambue kabla ya kuwaamini watu au kampuni yoyote cha muhimu ni Kujua Imesajiliwa kwa sheria za nchi yetu maan kama imesajiliwa ikikutapeli unahaki ya kuishtaki... kuna kampuni niliwauliza...
  9. Mtora

    Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

    ila kiukweli kale kanyoka si cha kawaida bora hata wangeweka bata pale
  10. Mtora

    Waziri Lugola afanya mazungumzo na maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi

    kuna umuhimu wa viongozi wa siasa kujua kutofautishe kati ya utendaji kazi wa majeshi na maamzi yao ya kisiasa.
  11. Mtora

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    y es kuna mazuri kafanya japo kama mwanadamu huwa anateleza ila haina maan hajafanya nkitu no, mara baada ya uchaguzi kinacho takiwa ni sapport ili kuendeleza nchi.
Back
Top Bottom