DHAMBI YA KIBURI
"KIBURI" ni kati ya dhambi ngumu sana kujigundua kama unayo au la.
Na kwa sababu ya ugumu wa kujigundua, ndio maana imemaliza watu wengi na hata watumishi wazuri wa Mungu...
"Naweka hapa mambo kadhaa TUJIPIME SOTE KAMA TUNA DALILI ZA KIBURI AU LA"
1. Ukiona, KILA UKIONYWA...
Nilishataja jina,eneo ninalo ishi , mpaka namba yangu ya simu nimetoa humuhumu JF lakin sijapata huduma yeyote ni takriban miezi 4 Sasa utafikiri ninapewa huduma bure. Nimefunga mkanda na familia yangu kutafuta hicho kiasi, ili nipate huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wakati lkn wapi. Tanesco...
Tanesco Kigamboni, WARASIMU naomba mnirudishie hela yangu nikanunue solar hamtaki kuniunganishia umeme. Tanesco Makao Makuu mme kaa kimya naona mshirikiana na tawi lenu Tanesco hamtaki kunihudumia.
Tanesco ya wenye pesa. Sisi maskini tutafungiwa umeme kwa muda wanaotaka wao. Tunaomba wizara mnisaidie kila kitu nimekamilisha mpaka muda wa kusubiri umekwisha (Tanesco Kigamboni kwa kweli mmedhilisha RUSHWA ndo kipaombele chenu.
Tanesco Makao Makuu mnakaa kimya inamaana mmeshindwa kunisaidia!!? Au ndiyo hivyo mko kwa wale wenye mamlaka na uwezo wa kipesa. Tuka lalamikie wapi. Ngoja niadike barua EWURA CC labda watanisaidia.
Kodi si tatizo saana mbona zinaeleweka na zinamchanganuo mzuri tu ila hila za wafanya biashara kutaka faida za haraka pasipo kusaidia wananchi. Na EWURA emewekwa kuregurate na kusimmia masirahi ya WAFANYABIASHARA sio wananchi. Watu waliopo EWURA ni kusimmia PERSONAL na PRIVATE interest na sio...
EWURA wanakula njama na WAFANYABIASHARA WA MAFUTA. Sababu wanazotoa wa si za msingi kwa wananchi wa kwaida. Wanaotumia mamlaka ya walionayo kibabe kuwahadaa wananchi.
TANESCO MAKAO Makuu hamlioni lalamiko langu kwa Tanesco Kigamboni au tatizo liko kwenu kwa kushindwa kupeleka vifaa kazi; kupeleka magari pamoja ukarabatii wa magari yaliopo ili kuboresha huduma maana Tanesco Kigamboni wanna visababu vyao eti magari Ni machache na mabovu.
Mtanifungia umeme lini jamani mbona imekua ni kero sana!!!I? Nina miezi 3 tangu nilipie na muda kusubiri umekwisha kila siku hakuna sababu za msingi. Wengine wamefungiwa kwa haraka na tulikuwa pamoja kwenye malipo mpaka ufuatiliaji nimuone nani; na mimi nitoe kidogo nipate huduma. Maana haya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.