Recent content by Mtolera

  1. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Hivo ndio unapenda kuona wewe unaye ona bora vita mailete refference za nyuma sisi tuna enda mbele tuzuie hivi vitu visitokee duniani havina ulazima tuzungumze Amani ya nini yote hii na ikiwa mtu ajachokozwa au kufanywa chochote watu hawaja lipiza wapewe uhuru haya mambo ya kitumwa mtu akitaka...
  2. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Lets speak Amani nyie mnaona heri watu kufa kuliko kuongelea amani kwanini msiache ujuzi wenu na flash back zote mkaanza kufikiria athari za umwagaji damu haijalishi chochote haki iko wapi ila now sio wakati wa vita. MI KWA UPANDE WANGU BUSARA SI KWA KUMWAGA DAMU HUO NI UBABE WA KIJINGA SANA...
  3. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    All in All nimesoma thread sana sana ila mi naona hakuna umuhimu wa kumwaga damu.. coz hakuna maslahi yoyote katika umwagaji damu yaamin mtu yoyote anaye chochea vita ni punguani kabisa haijalishi history au nani anataka nin kwa nani kikubwa busara zitumike kumaliza choko choko kuna watu...
  4. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mgeni Shinyanga mjini, usilale Buchosa guest house inafuga vibaka na majambazi

    nimeipenda makoa waaminfu Sana nimefika mwezi WAtatu big up to them kwa mnager na wahudumu
  5. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    Nami naitaka jamani mtu kwenye nayo ani pm fasts tuone wote tujue kweli Ni yeye
  6. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Video ambayo haijahaririwa ya Rais Magufuli na Mkalimani wakati akihutubia mkutano wa AU

    Naomba video ilio haririwa niweze compare
  7. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya fluconazole eye drops

    Nimeanfikiwa hivo kua Kuna fluconazole eye drops
  8. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya fluconazole eye drops

    Jamn wafamasia natafuta hiyo dawa hapo juu maana nimetafuta maduka ya hapa arusha nimekosa naomba Msaada wakuu
  9. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    3 October yuko wapi
  10. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

    Sawa Dr mzizi mkavu
  11. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

    Hasante kwa ushauri mkuu
  12. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

    Hili nililiwaza na nishamwambia
  13. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

    Haina shida langu nipen ushauri Siko chaputa yaani sijawah
  14. Mtolera

    JamiiForums Tanzania Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

    Sina haya kuficha kinacho nisibu ni kweli rafiki yangu na si mimi Ila yeye hayuko humu sijui namna ya kutibu tatizo hili thus na share na Wakuuu zangu humu najua naweza kupata ushauri au njia ya kumsaidia unajua ili tatizo akipata rafiki inakua kma wewe maana huruma na psychological inaleta...
Back
Top Bottom