Mtolera
Member
- May 2, 2016
- 47
- 21
Nina kijana mwenzangu rafiki yangu yeye anaishi mbali na mpenz wake na hukutana mara moja moja sana yaan hata miez 4 na kuendelea sometimes
but wanapokuwa wawili anakua na hamu na inasimama vizur lakin inapofika wakati wa kuingiza inanywea yaan inashindwa kupandisha mlima sasa wana Jamii naomben mawazo ya kumsaidia ndugu yetu