Yaaan rais aaache kufanya mambo ya mcng akae kusuruhsha swala la umea dar ltaingza pato kias gan kwa nch kila manspaa c inameya au n hlo n swala linadepartment yake linashughulikiwa sasa kila kitu awe rais anaingilia ebu yasomen majukum ya rais na kuyaelewa so mnakurupuka kuchukua ujiko humu...
Ujue kumbe mtu kumlk smartphone sio kua na akil timamu sasa lowasa washukuru nn watu wakat hajashnda au kwasababu n darasa huru bas kila mtu anaandka tu afu et ccm nchi nzima bas mngekua na wabunge weng ukawa achen utoto kuen na mawazo endelevuuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.