Recent content by MTIRO

  1. M

    Msaada Ipad

    Nimekumfirm kaka, nikianza kuitumia kufungulia apple inakataa
  2. M

    Msaada Ipad

    Wana jamvi; Naomba mnisaidie nimenunua Ipad Apple sasa kila ninapocreate Apple ID nafanikiwa ila nikilog in kwa kuitumia hiyo ID kwenye inakataa, naomba mnisaidie tatizo ni nn??
  3. M

    Saloon ya kiume inauzwa

    Samahani sana baba, nilikuwa nimekunywa konyagi nilipoingia Jf. I am very sorry my father!
  4. M

    Mbowe, Mwanya huo Utumie Vyema Sasa

    "It is better to be a human being dissatisfied than being a pig satisfied" ngoja niendelee kusoma comments za with.
  5. M

    Saloon ya kiume inauzwa

    Hueleweki dogo
  6. M

    Saloon ya kiume inauzwa

    Vifaa vya salon ndivyo vinavyouzwa...
  7. M

    Saloon ya kiume inauzwa

    Wana JF, Ninauza vifaa mbalimbali vya salon ya kiume kama ifuatavyo: Vioo viwili vikubwa vya kisasa kwa Tsh 300000, Viti viwili imara sana Tsh 200000, mashine tatu nzuri za kunyolea kwa Tsh 100000 zote tatu, spirit, vitambaa, powder, scrub oil, etc nitakupatia kama offer. Kwa anayehitaji...
  8. M

    Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    Sasa nimepunguza bei tigo pesa laki 6 Voda laki 2
  9. M

    Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    Sasa nimepunguza bei tigo pesa laki 6 voda laki 2 kwa anayehitaji anipm
  10. M

    Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    A cha utoto we mgonjwa ungekuwa na lengo la kuuza si ungeanzisha uzi wako aisee....acha mambo ya kizamani bhana, unaboa kichizi yan
  11. M

    Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    Habari wana Jf. Kwa yeyote anayehitaji line ya tigo pesa na vodacom m-pesa anitafute, nipo dar na bei yake ni Tsh laki nane (800000) kwa line ya tigo na Tsh laki nne (400000) kwa line ya voda. Unaweza kunipm kwa anayehitaji plz
  12. M

    Je, Unaguswa na Ustawi wa Vijana Tanzania? Kama ndio, Hili Linakuhusu wewe!

    Ndg bethehemu Tanzania inamatatizo kila eneo, mi nahisi tatizo kubwa lipo kwenye mind set za kila MTU Tanzania kuanzia viongozi hadi waongozwa haswa vijana. Kama ukichunguza kwa umakini asilimia kubwa ya wakazi wa jiji la DSM kuanzia umri wa miaka 18 ni vijana jaribu kupita maeneo ya ubungo...
Back
Top Bottom