Saloon ya kiume inauzwa

Saloon ya kiume inauzwa

MTIRO

Senior Member
Joined
May 5, 2012
Posts
120
Reaction score
17
Wana JF,
Ninauza vifaa mbalimbali vya salon ya kiume kama ifuatavyo: Vioo viwili vikubwa vya kisasa kwa Tsh 300000, Viti viwili imara sana Tsh 200000, mashine tatu nzuri za kunyolea kwa Tsh 100000 zote tatu, spirit, vitambaa, powder, scrub oil, etc nitakupatia kama offer. Kwa anayehitaji aniPM vifaa vyote vipo sinza.
 
Unauza saloon au vifaa vya saloon?
Mi natafuta vioo vya saloon ya kike mkuu.
 
kwani vioo vinatofautiana kutokana na aina ya salon! ila siyo saloon ni salon!

Zamaulid mi nimem'quote mtoa tangazo kama alivoandika,lakini nahisi hajisomi,msome vizuri alichokiandika tangu mwanzo wa tangazo lake hadi maelezo yake,kisha fuatilia nilichokiandika mimi,nadhani utakuwa umenielewa kwanini nimeandika hivyo,umetumia nguvu nyingi mkuu..punguza kasi.
 
Heading na maelezo vinatofautiana, headimd anasema anauza salon lakini maelezo anasema anauza vifaa vya salon. Anatakiwa aweke sawa maelezo yake.
 
niuzie salon na kila kitu kilichopo ndani kama upo tayari sema nitakupa hela ya hivyo vitu vyote
 
Haeleweki nini? Yeye anataka utoke wewe tu, mpaka magazeti ua zamani unamuachia!
 
Hueleweki dogo

Mimii kama baba yako so angalia lugha unapotumia kijana....nimekuambia acha kila kitu humo ndani nitakpa hela kitu na pango nitatumia hujaelewa nini??
 
Mimii kama baba yako so angalia lugha unapotumia kijana....nimekuambia acha kila kitu humo ndani nitakpa hela kitu na pango nitatumia hujaelewa nini??
Samahani sana baba, nilikuwa nimekunywa konyagi nilipoingia Jf. I am very sorry my father!
 
Wana JF,
Ninauza vifaa mbalimbali vya salon ya kiume kama ifuatavyo: Vioo viwili vikubwa vya kisasa kwa Tsh 300000, Viti viwili imara sana Tsh 200000, mashine tatu nzuri za kunyolea kwa Tsh 100000 zote tatu, spirit, vitambaa, powder, scrub oil, etc nitakupatia kama offer. Kwa anayehitaji aniPM vifaa vyote vipo sinza.

mkuu hzo machine bado zpo?
 
Back
Top Bottom