Recent content by mtiga lubawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wote kutoka Kaskazini ni sawa?

    Inaonekana uongozi wa juu wa chama woote tofauti na ccm
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Doooooo kweli kila mtu ana uelewa wake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Nyamakonge naona umeshindwa kuelewa na kupambanua vizuri hoja iliyojadiliwa jana. Kifupi bunge la katiba linaendelea kama kawaida. Baada ya kumaliza vikao vya bunge la katiba kura za wananchi kuipigia kura katiba waipendayo ndiyo isipigwe mpaka mwakani ila sasa kuna baadhi ya vipengele wamesema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid abwagwa kortini

    Tunampenda mbunge wetu tutamchagua tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu ndogo Dodoma

    WAmemaliza kuinywa fasta wanaomba waongezwe nyingine alaaa. Che
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Ali Hasan Mwinyi alipoondoka madarakani serikali ilikuwa imefilisika!

    Tuache ushabiki wa kiiimani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Ali Hasan Mwinyi alipoondoka madarakani serikali ilikuwa imefilisika!

    Watu walikuwa wanatembea uchi viwanda vimekufa. Na hata mtu akifa baadhi ya watu ndugu zao walikuwa wanamzika na viroba. Lakini alipoingia mwinyi karuhusu mitumba ije leo tunamuona mbaya Daaa inaniuma xana nikikumbuka njaa na mgao wa umeme wakati wa mwinyi havikuwepo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Ali Hasan Mwinyi alipoondoka madarakani serikali ilikuwa imefilisika!

    Duuuuuu kweli nchi hiii inashindwa kumpa hongera zake mwinyi kweli mfadhiri mbuzi binaadamu atakuudhi. Mwinyi kaichukua nchi hii tukiwa hatuna mafuta ya aina zoote ya taa. Petrol. Diesel. Upande wa vyakula tulikuwa tunakula unga wa farasi. Kutoka marekani. Chakula huwezi nunua mpaka ununue na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

    Je ingelikuwa wewe wille gamba ungekataa kuchukua posho kwa maslahi yako au ungemsikiliza Dj mbowe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

    Kuna baadhi ya watu hata somo la hesabu lilikuwa baba mkwe au mama mkwe huko mashureni walipokuwa wanasoma maana mtu anasema unapounganisha namba mbili unapata moja hivi kwa kawaida kitu kimoja na ukiunganisha na kimoja natumaini unapata viwili. Na ndiyo jawabu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Arusha wavunjiwa vibanda

    Samaki muheza hakuna mpinzani wa kweli na kama yupo hazidi mmoja
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

    Mimi namsifu kwackufikisha mawazo yake lakini akiwa ndani ya kikao. Na kile alichokiongopa akakubali kukifuta sasa ukawa wehu maana walitakiwa wawemo ili tuwasikie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Barabara mbovu chadema wametengeneza barabara ipi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hiyo Tume ya Katiba imefufuka tena?

    Kama ni ufafanuzi wakautoe bungeni kwenye majukwaa haitosaidia kitu kwani ni watanzania wangapi? Waishio kijijini wala hawajui kama kunaabadiliko ya katiba ni hapo kwenu Dar ndiyo mnaojifanya kuwa wasemaji wa watanzania wooote
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hiyo Tume ya Katiba imefufuka tena?

    Ninaona sio poor si minds ni hivi poor ni noise sawa tatizo hujielewi ungejielewa ungetulia lakini nionavyo ni waleeeeeeee
Back
Top Bottom