Recent content by MTH center

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    umeandika nn? Ndo maana niliwahi kusema JF wengi ni watoro wa shule. mtu kuandika sentensi hata mistari miwili huwezi lkn unamkosoa Mtu wa PhD.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atakuwa adui namba 4 kati ya maadui wa 3 wa Mwl Nyerere

    Mbowe ndo msaliti wetu wanachadema, na nipo napiga kampeni ya kupoteza kura za lowassa pamoja na kuwa mm ni mwanachadema hai.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Dr. Slaa: Mageuzi/Mapinduzi ni kubwa kuliko agenda ya Ufisadi

    Nashauri dr Slaa role model wangu achana na siasa za akina mbowe. mwywe nimechana kadi ya chadema leo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uimara wa CHADEMA Umethibitika kwa sakata la Slaa

    mm nimetega sikio akitoa tamko tu la kujitoa nachoma kadi ya chadema, nijipe muda wa kutafakari then nita tathmini chama kipya cha kujiunga.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Kilichomtokea dr slaa ktk chama chetu kimenikumbusha mambo mawaili: 1. Jinsi alivyokuwa akihubiri kuwa CCM kinawatumia wananchi km makarai yanavyothaminiwa wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi kukamilika karai hapendezi kukaa hata uvunguni. Ndivyo alivyojenga CDM hadi leo hii kumvutia Lowassa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimependa msimamo wa Dr Slaa

    yaan wengine mnaboa sana, yaan badala mzungumzie Lowassa anayeibaka cdm, mna mzungumzia Slaa aliyektaa kubakwa ndni ya cdm, ndio maana nasema humu wamejaa waliotoroka shule.
  7. M

    JamiiForums Tanzania OMBI; Onyesha uzalendo baki chadema, baki UKAWA.

    Toa ushenzi wako, yaani usimwambie Lowassa asituvurugie chdema yetu badal yake unamsihi Slaa aliyepata ukilema kwa ajili ya CDM leo akubali chama kubakwa na LiFISADI Lowassa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

    Laana utapata wewe unayemtukana asiyekutukana. Leo unaona Slaa msaliti kwa sababu ya Lowassa aliyevamia chadema? Kati Mbowe na Slaa nani kamsaliti mwenzie? Kweli ujinga ni mtaji wa wenye hela.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naondoka na Slaa kampeni ya CHADEMA Asilia!

    kwa hiyo mtu huwa anatubu kwa kutoa masharti ya maslahi binafsi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    kaka hoja yako nimeipenda, ni za kisomi na kistaarabu sana. You really made my day.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Faida ya Lowassa ni miezi miwili tu, utaniambia baada ya uchaguzi km atakuwa na faida yoyote. Zaidi anakiua cdm kwa kuwa nunulia brashi na jick ya kusafisha UFISADI na kuwekea jina mpaya la TUHUMA.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA

    Kwani Makene hawezi kuandika mpaka umwakilishe ww? Huo ni umbea, mtu unakuja kuhu nakusema fulani anasema ........, we nani mpaka akutume kuleta habari?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Mimi ni mwanachadema wa kuaminika, naipenda sana cdm lkn kwa hili lililofanywa, no more democracy ktk chama hiki, nimetumia nguvu kubwa sana kukitetea kila nilipokuwa, na sasa nasikitika sana kuona tunaachwa katikati ya bahari, hatujui tunakwenda wapi kisa Lowassa, Lowassa hanahuruma hata...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    mm ni mwanachadema wa kuaminika, naipenda sana cdm lkn kwa hili lililofanywa, no more democracy ktk chama hiki, nimetumia nguvu kubwa sana kukitetea kila nilipokuwa, na sasa nasikitika sana kuona tunaachwa katikati ya bahari, hatujui tunakwenda wapi kisa Lowassa, Lowassa hanahuruma hata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

    Tatizo la wasomi wa sasa ni kutofikiri vzr na kupelekwa na upepo mdogo tu. Mtu anapotoa ushauri na wewe ukatukana maana yake nn? unakosa ustaarabu wa kukataa ushauri na kutoa mawazo mbadala? JF naona imejaa watoro wa shule!
Back
Top Bottom