Ndg wanamabadiriko, mtakumbuka wiki mbili zilizopita niliandika uzi humu, kuuonya ukawa juu ya ujio wa Mh Lowasa.
Awali sikuelewa nini maana hasa ukawa walilenga lakini sasa nimeshaelewa na ninaunga mkono.
Ktk harakati zote zilizofanywa na viongozi wa vyama hakuna ubishi kwamba Katibu Mkuu dr W.Slaa alitumia mda mwingi kutuelimisha watanzania juu ya udhalimu wa chama tawala ccm. Zaidi ya hayo alilenga kutubadirisha mitazamo ili watanzania tuelewe hatima ya nchi yetu na kuhakikisha ccm tunaachana nayo na kuungana na wanamabadiriko ndani ya vyama.
Mungu si athmani amesikiliza kilio cha watetezi wetu akiwemo dr Slaa, na sasa watanzania wengi wameanza kuufata mwanga wa ukombozi( UKAWA). Hata wale tuliodhani wana mioyo na shingo ngumu (wana ccm kindakindaki) sasa wanaungana na sisi wazalendo ktk mapambano.
Habari zinazoenea kwamba dr slaa anahama au kuachana na siasa ndani ya Chadema zitatuvunja moyo na hivyo kudhanikwamba Dr Slaa hakuwa mwanaharakati wa kweli na alikuwa anaturubuni tu ili apate kkuungwa mkono na huenda yale aliyohubiri hakufanya vile kwa dhati. Ni wakati wa kufurahia kazi nzuri mliyofanya viongozi wote wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kwani sasa mnaungw mkono na watu wa aina zote, na hili lilikuwa lengo letu kimsingi.
Dr slaa ombi langu kwako, kaa chini msikilize Mungu, wakati wa mabadiriko ni sasa lazuma sote tubadirike tuwe na mioyo miepesi kuwapokea wale tuliowavuna kutokana na nguvu na jasho letu.
Tambua kuwa haikuwa kazi rahis wanaccm vigogo kuhamia chadema na ukawa, si kwabsababu wamekatwa kwenye vyama vyao ndo wakaja kwetu la! hasha. Ispokuwa chadema ni chama chenye mvuto, kinaonesha mwanga wa mabadiriko, nuru ya ukombozi ndani ya ukawa imewaangazia watanzania wote na hii ni matokeo ya kazi yenu.
Dr na wenzako mmesahau wakati mlipopigwa mabomu mikutanoni? Wengine mlipelekwa mahabusu, mahakamani mlitukanwa na kubezwa kwa shughuri hiyo mliyofanya. Sasa ndugu zangu mnataka kwenda wapi? Mbona sioni mkijitokeza hata kwa dakika moja tu mkakanusha habari hizi? Nasikia mnataka kuondoka!
Bado naamimi dr slaa ni mwadirifu, mcha Mungu haweziruhusu mpasuko ndani ya chama kwa hoja nyepesi za maccm eti kwa nini ayngane na Lowasa.
"Nothing can dim light that shines from within"