Recent content by MTEULE 05

  1. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye machaguo ya Vyuo

    Mkuu samahani!! Na kama umechaguliwa vyuo viwili na haukufanya confirmation katika chuo chochote!! Bado unaweza kuomba na ukapata
  2. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania EAST AFRICA STATISTIC TRAINING CENTER!!

    Habari wakuu, nimepita mtandaoni nikakutana na hiki chuo kinachoitwa "EAST AFRICA STATISTIC TRAINING CENTER" Chuo hiki kipo DSM miongoni mwa kozi nilizoziona ni OFFICIAL STATISTICS pamoja na DATA SCIENCE!! Naomba mwenye ABC za chuo hiki kuhusu uhalisia wa chuo na utoaji wa masomo kwa ngazi ya...
  3. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya application za kuomba chuo mwakani hali yakua ni mwanafunzi wa chuo fulani

    Barua unachukua kwenye chuo ulichokuwa umesajiriwa!! Baada ya hapo unajaza form kutoka TCU, hii form ya TCU unaidownload kutoka kwenye Website ya TCU unaambatanisha na barua kutoka chuo kisha unapeleka kwenye ofisi za TCU. unakuwa umemaliza kazi!
  4. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Tangu nimehamishiwa Mkoani mwenza wangu amekuwa Mkorofi

    Mkuu!! Ushauri bila taarifa kamili nikama kubet tu! - Ana umri gan? -Anafanya kazi gani? -Je alishawahi kuwa mama? - Na kabla yako!! He hyo walieachana kosa lilikuwa nn!? Ukinijibu hutajutia!!
  5. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Unapokwenda kukutana na mrembo mkali zaidi kwa mara ya kwanza

    Kwamba avae viatu virefu!!?
  6. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kutumia satellite finder

    Blaza sema ndo mgen kwenye game so hata sijui aina gani za finder yaani mie nilijua zote zinafanya kazi the same!! Sikujua kunatofaut ya finder!! So naomba nitajiwe japo moja na pia nipate namna ya kuitumia!!
  7. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kutumia satellite finder

    Hapa numelenga sana kwenye kufanya installation ya ving'amuzi!!
  8. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kutumia satellite finder

    Wakuu poleni kwa mihangaiko kama heading inavyo someka naomba kufahamu namna ya kutumia satellite finder!
  9. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Database management system (DBMS) anahitajika

    Poah! Mkuu nitafanya hvo!
  10. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Database management system (DBMS) anahitajika

    Wakuu habari za mda huu na poleni kwa mihangaiko! Kama maana inavyojieleza hapao juu. Nahitaji mwalimu ambaye yuko vizuri kwenye upande wa database ili apate niwe mwanafunzi wake kuna changamoto napitia japo Mwanga wa database ninao nikuongezea vitu vidogo tu ile nikihakikishie katika mambo...
  11. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

    Hongr!! Kwa ule msingi!! Aisee ukimaliza utabakia kutafuna kababu tu.
  12. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume?

    Point yako ni powerful Sana
  13. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

    Mkuu toa link
  14. MTEULE 05

    JamiiForums Tanzania Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    Mkuu naomba code za hzo you tube.. chanel
Back
Top Bottom