Kwenye mitandao ya kijamii kumejavaa mafunzo mengi kuhusu mafanikio katika maisha au biashara yeyote na mafunzo hayo ni mazuri na nimoja ya njia ya mafanikio
Je umewahi kusikia haya ?
Ukiwa katika safari ya mafanikio katika biashara yako hakikisha umetimiza mambo haya kwanza
1) kuwa na...
Dunia ni yawatu wenye nguvu hii
UKijifanya mnyonge kwa kudai haki yako hupati zaidi utasingiziwa kesi ya ubakaji au kesi yeyote ili uzidi kuteseka
Hakuna haki yeyote ambayo inapatikana duniani
Iwe serekalini au kokote
Kupata haki yako kwa kujifanya mnyonge ni vigumu mno
Mathayo 25:29
Kwa...
Kuna kauli ambayo wanawake wa sasa wanatoa eti ukinichiti na mimi nakuchiti mpaka najiuliza how come
Yaani Ukichiti mume wako na mwanaume mwingine unakuwa unamkomoa au unajikomoa sijawahi kuelewa hii mimi
Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei...
Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia?
Mtu kuwa uuongo sana yaani anadanganya kupitia kiasi. Kushindwa kujitambua ( yaani kuwa mtu ambaye anashindwa kudadavua mambo yake mwenyewe au kujisimamia )
Kuwa mtu mwenye wivu wa kupita kiasi, Mchonganishi, Mpenda sifa sana na kuongea kupita...
Huwezi kupingana na tajiri wakati unajijua wewe ni maskini lazima atakushinda tu
Hata angekuwa mimi ndo muiran unipe mfano milioni moja dollar eti nionyeshe wapi kiongozi wangu alipo nitaonyesha tu uzalendo hulishi watoto wangu au wazazi wangu kuna uwezekano nikawa mzalendo nakafia vitani zawadi...
Huwezi kupigana na tajiri wakati unajijua wewe ni maskini lazima atakushinda tu
Hata angekuwa mimi ndo muiran unipe mfano milioni moja dollar eti nionyeshe wapi kiongozi wangu alipo nitaonyesha tu uzalendo hulishi watoto wangu au wazazi wangu kuna uwezekano nikawa mzalendo nikafia vitani zawadi...
Uenda nikawa na tatizo ilo maana sielewi na sijawahi kuwa na mawazo yeyote juu ya uyu mama au la. maana naona kama ni mauzauza tu
Mtu azikwe alafu eti tena nije kumuona mmmm sijui labda nimeanza kuchizika maana mpaka sasa nahisi moyo wangu hujatulia mapigo ya moyo yanaenda kasi nahisi...
KUna tukio nimekutana nalo shambani siamini mpaka kwasasa naona kama ni ndoto au ni uoga wangu au nini sielewi chochote mpaka sasa hivi kwa nilichokiona . Miezi kazaa hapo nyuma
Katika kijiji chetu tulikuwa na msiba wa mama fulani ambaye alifariki baada ya kuugua mgonjwa wa kupooza kwa...
Makampuni na Teknolojia
Google – Sergey Brin, Larry Page
Facebook / Meta – Mark Zuckerberg
WhatsApp – Jan Koum, Brian Acton
Intel – Andy Grove, Robert Noyce
Oracle – Larry Ellison
Dropbox – Drew Houston
Snapchat – Bobby Murphy
PayPal – Peter Thiel
Palantir Technologies – Alex Karp
WeWork –...
Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran?
Je kama walijua Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.