Recent content by MTETEZI WA WANYONGE

  1. M

    PreGE2025 Mbunge Abdulhafar: CCM ni wazoefu wa kupokea matokeo ya kushinda na kushindwa, upinzani wafundishwe

    nadhani hajui tatzo , tatzo ni serekali iliomadarakani kutumia dola kama chombo chao ili kukimbia na masanduku ya kura. pia PAWEPO NA NENO TUME HURU YA UCHAGUZI, KIONGOZI WAKE MKUU ASITEULIWE MAMLAKA (serekali) wajumbe wawepo toka VYAMA VYA SIASA kwa mujibu wa usajiri wa vyama
  2. M

    Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Hapa MAKONGO JUU, WILAYA YA UBUNGO, MKOA WA DSM nimenunua 4000/1kg Serekali ingetoa namba za simu za kupiga au kutoa taarifa ingekuwa rahisi zaidi
  3. M

    Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

    Mbunge wa kwetu amekuwa waziri hivyo amekuwa sehemu ya mpokea michango Naamini anachapa kazi sana Allah amlinde Waziri wa TAMISEMI
  4. M

    Waziri Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Busega, kupisha Uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

    Mh huwa anapenda black and white,pia anapenda ushirikano sana Pia amemsimamisha sio kumtumbua
  5. M

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional;ACCOUNTING Expirience: 10+ years Level of Education:Degree Location:Dar es salam District :UBUNGO
  6. M

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    TATIZO pesa za kusomea nimekaa sana kwa MWAJIRI ambae amekuwa ananitumia muda wote na bila kuniwachia muda na pesa za kusomea
  7. M

    Ajira za TRA SACCOS LTD

    Nimetuma maombi kwa nafasi zilizotangazwa na saccoss ,email haikwenda Majibu yamekuja kuwa EMAIL ZIMEJAA KWA MPOKEAJI, Mimi nimetuma Jana, Mwenzangu alituma siku ya tangazo jioni nae ameambiwa hivyo, Je Kuna Nini hapo?
  8. M

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Job seeker: Assistant Accountant Expirience:11years Location:BABATI,Manyara Education: Advanced Diploma in Accountacy Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
  9. M

    Dawa ya mchwa ni ipi?

    Nenda MADUKA ya PEMBEJEO ulizia HOTSHOT inayo imidaclopd 700g
  10. M

    Natafuta chumba cha kupanga

    Habari, Nahitaji chumba Cha kupanga maeneo ya TEGETA,KIBO nk Kiwe kuzuri Kuanzia 30 hadi 40 Kodi maelewano miezi 3
  11. M

    UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

    Huu ni mradi wetu ,pia sisi tunaowataalam wa mazingira hivyo hatuna budi kuimarisha na kujenga cha kwetu Rais pambana tuujenge mradi huo
  12. M

    Habari za jioni

    Naitwa Shamte Nyambega Naishi Arusha
Back
Top Bottom