Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
Nimekua nikifuatilia malalamiko ya wadau wengi kuanzia jinsi mfumo ama sijui ni software of which I doubt possibly ni burungu la watumishi wenye vichwa vizito ama bora liende huyu weka pale huyu huku nk..,
Wakati mwingine mnareject application ya muombaji kwa unreasonable responses, mfano:
NOT SHORTLISTEDApplication Letter not Routed Through Current Employer....wakati muombaji hajawahi fanya kazi serikalini wala kuajiriwa na yuko kitaa tu. UHUNI HUO bomboclat @Ajiraportal
NOT SHORTLISTED
Academic Certificates not Certified by Advocate/Magistrate....wakati muombaji ka certify vyeti og kupitia registered lawyer tena mwenye QR code ama Mahakama za wilaya na mkazi zile..... Vice versa vyeti hivyo hivyo unamwita kwenye nafasi nyingine....UZUZU HUO bomboclat @ Utumishi.
Ushauri: jiangalieni jitafakarini, kama mnabetuana na nafasi zetu hizo fresh patiana tu ila mtu kunyimwa nafasi ya kusikilizwa usailini poa but apewe sababu yenye iko valid kama
NOT SHORTLISTED
,Lacks Relevant Bachelor Degree Certificate as Per Advert.
Ni hayo tu