Recent content by Mtendaji wa kaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Naombeni namba ya simu ya lowasa nina jambo la kumwambia au mtu wake wa karibu anipe mawasiliano yake hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Farmer82 nimekutumia mawasiliano yangu inbox,naomba tuwasiliane rafiki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Naihurumia CCM
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka Kusoma LLB

    Jamani mliopo Law school au mliopitia pale mtupe updates kuhusu shule ya pale ilivyo,idadi ya kozi,muda na mkopo kwa wanafunzi wa shule ya sheria
  5. M

    JamiiForums Tanzania The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo; 1.Ni kozi ngapi zinafundishwa 2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje 3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari

    Sasa mbona hata PM haujibu? Nijibu kwa kunirushia specification za hiyo starlet including pics
  7. M

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m

    Hujajibu swali tafadhali...lita 1/km ngapi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m

    Vipi ulaji wa mafuta,inahimili masafa marefu kama km 1000 kwenda na kurudi llikizo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

    Hali yangu ni mbaya wapendwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno. =====
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo-

    Naumwa siyo siri! Naamini nitapona
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo-

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop na simu

    Sawa utauza
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

    Hebu ni pm namba yako kama uko mwanza basi hili dili linanihusu pia
Back
Top Bottom