Security purpose labda angekua mmoja. Afu kwa nn abadilike vibaya baada tu ya kuona mahari imelipwa.
Wadada (baadhi) wana tabia ya kuficha makucha pindi mpo kwenye mahusiano ya kawaida bt ukifikia kumtambulisha au ndoa hapo ndo utajua tabia halisi.
Mi nimewahi kuwa na mmoja alikua fresh. Ile...
Kwa uvivu wako ww tumia ushauri wa towel bath. Laki i kama unataka kunusuru ndoa yako na uepuke kuchapiwa kaza buti uwe na kwako. Hilo linalokupata liwe changamoto ya kusababisha uwe na kwako. Au chukua chumba ambacho ni self container.
Sitaki nitumie sana ule ujinga wa wengi wa kusema sema...
Marekani hawana raisi wa kudumu. Then kupomezana madaraka ni ili kuleta mawazo mapya ili tuwe na mabadiliko. Tunachotakiwa kuwa nacho Tanzania na hakipo ni succession ambayo kiukweli haipo. Anayepokea haendelezi aliyouakuta anataka aanza yake. Akiyaanzisha anayekuja anayapinga so tunabaki pale...
Unajua tumekaririshwa vibaya kua kutoa maoni ni " UCHOCHEZI" Nimepitia post ya ITV leo FB kuhusu issue ya Mh. Mkapa kuhusu elimu jamaa mmoja kacoment kwamba Mkapa ni mchochezi.
Lisemwalo huwa lipo. Kwa nn serikali isichukue maoni na kuyafanyia uchunguzi kuliko kuyabatiza kwa jina la uchochezi...
Saa yaja ambapo waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli. We don't believe in religions or dominions we believe in worshiping the Living God. Dini yako si kitu mpendwa. Bali wokovu ndo kila kitu. Wokovu ni njia ya Mungu kumtafta mwanadamu na hii ilifanyika kwa njia ya kufa kwa Yesu...
Watu wachache wa dini flani wanapokua wanaenda kinyume na utaratibu hatusemi dini ndo mbaya bali watu hao ndo wabaya. Haijalishi ni kiongozi au la. Wapo waislamu kibao wanaojitoa muhanga na kuua watu kibao. Lakini siamini kama waislamu hao wanatumwa na dini ya kiislamu bali ni ubaya wao binafsi...
Kiukweli huyo hakupendi. Mi nimewahi kuwa na dada mmoja naye alikua kama huyo jamaa. Ukimpigia hapokei kwa kisingizio kuwa huwa hapendi kuongea na simu labda sms tu. Bt nikaja kujua kwamba hakuwa na mm tu coz watu wengine huwa anaongea nao fresh kabxa. Nikaamua kukaa pembeni faster
Elimu bure sawa lakini mbona idadi kubwa ya shule bado ni majanga? Kuna wanafunzi hawapati huduma muhimu kwa sababu ya elimu bure. Kuna isue za ukosefu wa maji, chakula, walimu n.k. Naona bado hatukuwa tumefikia ilitakiwa iwepo kwenye plan ya miaka kadhaa then utekelezaji uwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.