Recent content by mtemi msumba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Majipu matatu haya hapa

    Yeye mwenyewe ni jipu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilikosea sana nilipomruhusu abadili gia angani, sasa naona dalili kuwa itanitesa

    Sasa Shida nn endelea kula mzigo hiyo ni kesi ndogo sana piga pumbu mpaka mwisho wa maisha yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Safi sana rais kikwete wapi vijana vifaa vya kufanyia kazi ili iwe mfano kwa wanao jidai wanywa viroba wanataka kituharibia Amani yetu
  4. M

    JamiiForums Tanzania System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    Mm na ukweli kiongozi ww umechambua kisomi sasa subili waje hawa bulula usikie matusi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    Pamoja na itikadi za kisiasa lakini magufuli anatufaa kuwa rais wa tanzania
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ashindwa kuhutubia Misungwi

    Kweli jf kuna mabandidu wa uongo nikuwa c amini,hili la misungwi kuwa magufuli kashindwa kuongea ni uongo na maana mkapa anawaita malofa,mm nimeangalia mwamzo mwisho na akamuombea charles kitwanga kura kwa wanamisungwi,kweli ukawa mtakuwa ukiwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mheshimiwa Freeman Aikael mbowe

    Mbowe alipiga dili kwa lowasa bilion 12 acheni Na mawakala nao wakapige dili kwa lugha nzuri ni kwamba (dawa ya fitina ni fitina)maneno mengi Ya nn
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Kama una miamba subilia muda wa kujifungua
  9. M

    JamiiForums Tanzania Cheki mchakamchaka wa Abdulrahman Kinana alivyofunika Tunduma Mjini

    Hapa kazi tu acha wabwate na Mzee wao wa kukipika na kupest
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    Huo ni ukweli tupu nakupongeza kwa tathimini nzuri na ya kisomi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa waziri mkuu wa Rais Magufuli?

    Mwakyembe
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

    Maana nilisikia king msukuma anawauliza watu c mliona mzee kajinyea na watu wanaitikia tuliona sasa mm nilizani ni siasa kumbe ni kweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

    Jamani hv kweli huyo mzee alijinyea kule chato??
Back
Top Bottom