Zitto tumemchoka na kutafuta "kiki" za matukio, mwanzo alikuwa miongoni mwa wale waliosema pamoja na Lissu ETI tusiwaguse acaccia/barrick kwenye makinikia sababu tutashitakiwa na kulipa faini ya mabilioni, sasa kageuka utafikiri samaki anae geuzwa.
Hata sheria mpya za madini ambayo zimetumika...
Watau wanafiki, wazushi,?waongo hata ukweli hawaujui.
Nakumat imetokea Kenya, huko Kenya kafunga matawi mengi, Uganda kafunga maduka yote.
Sasa biashara ngumu wapi? Mwenye mali ndiye biashara imekuwa ngumu kipesa au hali ya biashara TZ???
Jikumbushe chanzo cha Green Land Bank kufa, pia 2014/15...
Rais hajavunja katiba.
1. Mikutano ya vyama vya siasa inataratibu zake
2. Amri ya Rais ni kama zile Executive Orders ambazo Mfano, Marekani Marais wake wote hutumia kutawala
Kitu ambacho nazidi kujifunza katika nchi yetu hii hasa tangu awamu ya nne ya serikali ni kwamba kuna wasomi wanapoteza kabisa UELEWA wao na Uwezo wa Kufikiri kwa sababu ya kutowapenda viongozi/kiongozi aliye madarakani.
Kaulize Chadema walivyo na wanavyoendelea kumsafisha Fisadi ambaye kwa miaka 8 walitumia mamilioni kuzunguka nchi nzima kumtangaza na kusema anastahili kuzomewa kila anapooonekana.
Kwa hiyo Chadema wamedharauliwa sana na huyo fisadi. Halafu alivyo jeuri kakaa kimya chadema wanazidi kuhaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.