Miaka 15+ unamfanyia sherehe (kirombe) anatahiriwa bila ganzi mbele ya umati wa watu alafu hakuna kutikisha kiungo chochote kila mwilini mwako, hadi kope za macho usiminyeminye.
Hapo utahesabiwa kuwa unekuwa kijana rijali
Hongera sana home boy kwa kusimulia maisha yako. Nimefatilia simulizi mwanzo mpaka mwisho, bahati nzuri nimeisoma ikiwa imefika tamati. Simulizi yako ni harisi kabsa haijatiwa chumvi wala ndimu, kuna code za kitaa umezitumia katika simuliz yako ambao wenyeji wa Musoma tunazifaham. Ulivyoelezea...
Sidhani kama maandishi yako ya nchi za mbali yanaweza kumugawa mtu humu kwa imani yake! Kama ni hivyo basi mtu huyo atakuwa alishajigawa kitambo na si wew uliemugawa.
Nilienda usukumani kujifunza tamaduni zao "BUJORA" bahati nzuri ulikuwa msimu wa ngoma zao za sherehe. Makundi kutoka sehem...
Cultural norm's and believes. Mfano hao watu wamexico inasemekana walikuwa wakiabudu kwenye miungu ya kutoa sadaka ya watu, hii MaryGibson amejaribu kuielezea kwenye film yake ya Apokalpto na baadhi ya pyramids kwenye ile filam ile mpka leo zipo na zingine umeziambatanisha kama sehem za utalii...
Aaaah thanks kwa kuniongezea maarifa ya jamii.
Huyu muamerika ni mbabe!, sometimes huwa namkubali kiduku anavyomdindia muyuesiea.
Kama hutajali niongeze kwenye tag list yako unapotoa makala mpya. Napenda kuzijua nchi za mbali kwa nyanja unazoelezeaga. Kwa vile sina mpunga wa kutalii na kufika...
Hahahha nimecheka hayo maneno niliyoyabold. Hapo ni sawa na wanaume wawili wanaviziana, wakatunishiana misuli, mnyonge akaliwa.
Mkuu back to Cuba thread, inakuaje marekani awafunge wafungwa wa ugaidi Guantanamo ilihali Cuba na wamarekani ni paka na chui?
Alaah, kitu cha muhimu sana hujakizungumza kwenye makala hako ila umekiweka kwenye comments.
Ebu fafanua kidogo vita ilipiganwa mwaka gani na nn kilikuwa chanzo cha vita?
Alafu kwa nn jimbo la California liwe na uchum mkubwa USA , lilichukuliwa likiwa na huo uchumi wake ama wa-usa walilijenga?
Sioni haja ya kumplease, waskupangie namna ya kuandika. Binadam tuko tofauti sana, ukitaka kukidhi mahitaji ya kila mtu utajikuta unapoteza focus.
Mfano mm napenda udambwi-dambwi kwenye stories ndo inanoga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.