Recent content by mtechnical

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Man united: Red flags hizi za INEOS zifanya nisiwe na imani nao

    Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza zisirudi hivi karibuni. Baada ya kufanya tathmini juu ya uelekeo wa hii Man united chini ya INEOS...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Ni utaahira kujisifia utajiri wa wahindi na waarabu wachache wakati waislamu wenzako wengi wako kwenye lindi kubwa la umasikini wa kutupwa. Maaeneo mengi ambayo majority ni waislamu yana umasikini mkubwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Huyo Lugumi hapo kwenye List umempachika tu ili ku push ajenda yako fake. Matajiri wengi Tanzanai ni watanzania wenye asili ya kiarabu na wenye asili ya kihindi. Sio inshu ya dini.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Hii ni mtandao gani? Unapata unlimited GB?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Ni free, haina monthly subscription fees?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Unawezaje kuangalia ligi ya uingeleza kwa streaming? Tupe maujuzi kaka hawa DSTV nimeshawachoka.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na mtu wangu wa karibu kwa sababu nimemnyima Gheto langu asifanye uzinzi

    Mimi ningemuonya kutokufananisha geto langu na danguro.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Mafanikio ya ni kubadirisha nyumba yangu kutoka kuwa pango la kwenda kulaza fuvu usiku tu ( geto) kuwa home. Atleast sasa hivi nami nina somewhere i call home na ninaweza hata kukaribisha wageni. Pia nimpe credit ndiye alinipa hamasa kununua ardhi na kuanza kujenga.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za viwandani sio kazi, ni zaidi ya mateso

    Tatizo ni kuwa viwanda vingi vya wahindi vinatumia teknolojia ya hali ya chini ( sio automated). Kazi nyingi ambazo zingefanywa na mashine zinafanywa na watu hivyo wanajikuta wanahitaji labour force kubwa, matokeo yake wanalazimika kulipa mishahara midogo ili kupunguza gharama za uzalishaji ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utabiri wangu kuhusu maandamano Oktoba 29

    Mi sio chawa, nachukia uchawa kwa moyo wangu wote. Nimetumia tu common sense.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utabiri wangu kuhusu maandamano Oktoba 29

    Hakuna haja ya kunitukana. Mi nimeongea kwa common sense kwa namna ninavyo waona watanzania na ninavyo ona mambo yalivyo. Watanzania wengi bado hawajafikia hatua hiyo ya ku take rist kiasi hicho. That is common sense ambayo mtu yeyote ambayo yuko na free mind anaitambua. Siungi mkono...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utabiri wangu kuhusu maandamano Oktoba 29

    Mimi sio Mzanzibar wala muislam, sio CCM wala CHADEMA, ni mtanzania wa kawaida anayependa nchi yake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utabiri wangu kuhusu maandamano Oktoba 29

    Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe. Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

    Ndoa ni ushirika kati ya watu wawili jinsia tofauti kwenye kila kitu. Hiyo style kuwa wewe ndio unabeba gharama zote za nyumbani na hela yake haijulikani inaenda wapi haina afya kwenye ndoa na familia. Ipo siku utayumba kiuchumi na ndoa itaingia mgogoro.
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hakuna namna hawa Halotel wakafukuzwa nchini?

    Kwani unalazimishwa kutumia Halotel? Haujui kuna maeneo huko vijijini ndani wanategemea Halotel tu?Wakifukizwa hao watanzania wenzako wanaopata ajira halotel utawaajiri wewe? Kama halotel haikufai ipotezee, acha kulia lia kama mwanamke.
Back
Top Bottom