Recent content by Mtazama MAMBO

  1. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Hotuba Yangu ya Jana..."Fikiri Tofauti, Amua Mabadiliko Sasa"

    Mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo. Toka kwanza huko! Ndege wafananao huruka pamoja.
  2. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Mmeingia kwenye malumbano ya dini, hayawafikishi popote! Maana ni kawaida kwa dini kutafuta utukufu wake. Mimi nawaambia, dini ya kweli ni kuwatembelea yatima, wajane na wasiojiweza na kuwasaidia katika shida zao.
  3. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Chifu Wanzagi amemkabidhi Makongoro Nyerere kifimbo cha Mwalimu kama ishara ya uongozi

    Muda wa kutumikia dhambi umekwisha! Uwe baridi ama moto. Vuguvugu siyo dili ndugu.
  4. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Chifu Wanzagi amemkabidhi Makongoro Nyerere kifimbo cha Mwalimu kama ishara ya uongozi

    Zama za mazingaumbwe zimepita! Sasa ni sayansi na teknolojia. We endelea kubwabwaja na vifimbo!
  5. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kufuta vyama pinzani nchi hii

    Ndugu zangu Watanzania, umefika wakati sasa wa nchi yetu kuwa na chama kimoja, kilicho asisi uhuru wa nchi hii na kujenga udugu, upendo na umoja, yaani tanu na sasa ccm. Nayasema haya kwa sababu, 1. Kwa sasa nchi imegota, mipango na bajeti waliyopitisha waheshimiwa wabunge wetu imeshindwa...
  6. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka!

    Hilo ndilo li ccm ndugu! Si unacheki rangi yake? Likikugonga wala hutajua umegongwa na nini! Maana linafanana na mazingira. Kisha kwa jembe wanakufukia chap chap huku wakiendelea kuchukua chako mapema.
  7. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Maelite ndio Wanaompinga Lowasa?

  8. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Iba na wewe! Acha u.j.u.h.a
  9. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Kwani muungano ni amri ya Mungu? Na uvunjike bwana. Acha longolongo wewe!
  10. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Nitazungumza na Watanzania kuomba ridhaa ya kuwania Urais

    Nenda mheshimiwa, tangulia mbele mzee! Nafasi ipo wazi mkuu! Isipokuwa, usinisahau japo hata uDC aisee
  11. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Nakutamani wewe mtu! Kwanza unanidhalilisha kwa kuniita kaka! Haki isubirie tu huku kwenye forum, subiri tu utapewa. Utasubiri sana wala hamna mtakacho ambulia. Aliyeko juu mfuate huko huko!
  12. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rostam kuwa Waziri wa Fedha

    Huyo yupo poa kabisa, waziri wa fedha lazima awe na uhusiano na fedha. Pengine shilingi itaifikia dola.
  13. Mtazama MAMBO

    JamiiForums Tanzania Ingawa tayari tunaye mgombea bora, UFISADI umetunyima uwezo wa kumhisi, kumuona wala kumsikia!

    Aingie ccm huyo mtu wako, nje ya hapo ni MWIKO!
Back
Top Bottom