Ni kwanini Maelite ndio Wanaompinga Lowasa?

Kwa hali ya kawaida kama ni kweli Bw.Lowasa ni mbaya hivyo na hana sifa za kuongoza TanZania basi kulikuwa hakuna haja yoyote ile ya kutumia nguvu kumponda, kumdhihaki na kumshusha chini namna hiyo kila siku, kwa hali ya kawaida angekataliwa tu na wananchi moja kwa moja, sasa ni kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga?
Kama ni kweli hayo mnayoyasema basi hata Wananchi wangeandamana kumpinga lakini kwangu mimi wanaompinga ni maelite tu na wala SIYO walala hoi sasa ni kwanini?

Ni kwanini kitu kibaya kionekane na maelite tu? Ni kwanini watu wanatoka mishipa kutaka kutuaminisha kwamba Lowasa hafai? Ni kwanini wasiache tuamue wenyewe? Na kama kuna anayefaa mbona hatumuoni? Mbona sijaona Mtu yoyote yule akienda kutangaza nia na kujaza watu masikini kama Lowasa?

Hii yote inaniambia ya kwamba kuna kitu hapa, kama ilivyo kawaida ya maelite wanataka kutuletea elite mwenzao asiyejua matatizo ya mwananchi wa kawaida, mimi nasema msitumie nguvu kumpinga Lowasa waachieni wananchi waamue!
hao unaowaita Maelite wao sio wananchi? Ama ulitaka kusema Lowassa anatoka kundi la Wenyenchi tumuache!
 
Nadhani umesahau kuwa wale watu walikwenda kumuangali diamond si uliona wakati lohasa anataka kuondoka kupanda diamond jukwaani watu walikimbilia kwa diamond badala ya mtia nia.
 
Wengi wenu mtaduwaa yule msiempenda akiapishwa kuwa Prezidaaaa, mzee wa maamuzi magumu.
pangeni hata katapila kuzuia mafuriko lakini litapitiwa tu.
 
Hata Wewe mtoa mada ni Elite ila umekula hela na maharage gani sijui.
Ungekuwa siyo 'elite' usingejua kulitumia neno hilo wala kutoa link kwenye wikipedia.
 
Kwa hali ya kawaida kama ni kweli Bw.Lowasa ni mbaya hivyo na hana sifa za kuongoza TanZania basi kulikuwa hakuna haja yoyote ile ya kutumia nguvu kumponda, kumdhihaki na kumshusha chini namna hiyo kila siku, kwa hali ya kawaida angekataliwa tu na wananchi moja kwa moja, sasa ni kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga?
Kama ni kweli hayo mnayoyasema basi hata Wananchi wangeandamana kumpinga lakini kwangu mimi wanaompinga ni maelite tu na wala SIYO walala hoi sasa ni kwanini?

Ni kwanini kitu kibaya kionekane na maelite tu? Ni kwanini watu wanatoka mishipa kutaka kutuaminisha kwamba Lowasa hafai? Ni kwanini wasiache tuamue wenyewe? Na kama kuna anayefaa mbona hatumuoni? Mbona sijaona Mtu yoyote yule akienda kutangaza nia na kujaza watu masikini kama Lowasa?

Hii yote inaniambia ya kwamba kuna kitu hapa, kama ilivyo kawaida ya maelite wanataka kutuletea elite mwenzao asiyejua matatizo ya mwananchi wa kawaida, mimi nasema msitumie nguvu kumpinga Lowasa waachieni wananchi waamue!

Maana ya neno elite (kutoka wikipedia);

,,In political and sociological theory, an elite is a small group of people who control a disproportionate amount of wealth or political power. In general, elite means the more powerful group of people. The selected part of a group that is superior to the rest in terms of ability or qualities or has more privilege than the rest"

1433178773737.jpg 1433178773737.jpg
 
Action and reaction are equal and opposite! Nguvu kubwa anayotumia kujinadi ndio hiyo hiyo itatumika kumpinga!
 
anadanganya sana ndo mana wenye akili wanafanya analysis na kuona hafai
 
Kwa hali ya kawaida kama ni kweli Bw.Lowasa ni mbaya hivyo na hana sifa za kuongoza TanZania basi kulikuwa hakuna haja yoyote ile ya kutumia nguvu kumponda, kumdhihaki na kumshusha chini namna hiyo kila siku, kwa hali ya kawaida angekataliwa tu na wananchi moja kwa moja, sasa ni kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga?
Kama ni kweli hayo mnayoyasema basi hata Wananchi wangeandamana kumpinga lakini kwangu mimi wanaompinga ni maelite tu na wala SIYO walala hoi sasa ni kwanini?

Ni kwanini kitu kibaya kionekane na maelite tu? Ni kwanini watu wanatoka mishipa kutaka kutuaminisha kwamba Lowasa hafai? Ni kwanini wasiache tuamue wenyewe? Na kama kuna anayefaa mbona hatumuoni? Mbona sijaona Mtu yoyote yule akienda kutangaza nia na kujaza watu masikini kama Lowasa?

Hii yote inaniambia ya kwamba kuna kitu hapa, kama ilivyo kawaida ya maelite wanataka kutuletea elite mwenzao asiyejua matatizo ya mwananchi wa kawaida, mimi nasema msitumie nguvu kumpinga Lowasa waachieni wananchi waamue!

Maana ya neno elite (kutoka wikipedia);

,,In political and sociological theory, an elite is a small group of people who control a disproportionate amount of wealth or political power. In general, elite means the more powerful group of people. The selected part of a group that is superior to the rest in terms of ability or qualities or has more privilege than the rest"
Walala Hoi mara zote wametumiwa kwasababubu ni wengi.
 
Back
Top Bottom