Kwnini mshikamano uwe kwa watu kama hao ivi umesha wahi fika pale muhimbili kuna wangojwa wangapi ambao wametelekezwa pale hana ndugu wana teseka , au kule vujijini ndani mtu Ana umwa mwaka wa 5 huu hajui hatma yake Ana subiri kufa tu , naamini hata vitabu vya dini vina sisitiza tuwape wenye...
Kwanza Pole lakini binafsi naona hata wewe una makosa from the beginning kwanini umruhusu yeye ndo akupangie ilihali wewe ndo baba mwenye nyumba? Kitendo cha wewe kila unapokuwa na uhitaji uanze kujieleza kwake tayari kimepunguza kitu flani kwako
Uamuzi upo mikononi mwako ukitaka anza sasa...
Ngoja nimsaidie kidgo yani hapo inaonekana hilo begi analobebaga huwa ndani anaweka nguo za kubadilisha pamoja na silaha inamana alipomaliza lindo alibqdilisha nguo zake akawwka kwenye begi pamoja na silaha ndo akasepa manzese kupiga ulabu .... lakini bado amefanya makosa mengi ya kiufundi ...
Ivi katika hali ya kawaid unaweza Acha begi yenye silaha ikiwa na vitambulisho vyako ivi huyu askari maadili ya jeshi anayqjua kweli? Kuna makosa mengi sana ya kiufundi amefanya
Kwanza Pole lakini pia kuna makosa mengi ya kiufundi umefanya ..... kwanza haikuwa uamuzi sahihi kufanya mazoea ya kwenda kulala kwa huyo demu ... swala la wewe kimsaidia isiwe ndo breakthrough ya wewe kujiaminisha kwake kwamba umesha mpata
Huo mda ni mdogo sana kujiweka wazi sana kwake kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.