Recent content by MTATIRO MGAYA

  1. M

    Hoja: Kama wabunge wanaongea matusi bungeni, kwanini wanafunzi wasichore mazombi kwenye mitihani yao

    hali hii indelee zaidi kwani tunakaribia kweny mafanikio,Tundu Lisu aliongelea vizuri sana tume ya maadili ya viongozi wa umma, haijawahi kumwajibisha hata kiongozi mmoja kwa wizi wa mali za umma licha ya nguvu ya chadema bungeni kupelekea baraza la mawaziri kuvunjwa na baadhi yao kutemwa, haya...
  2. M

    Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

    cha msingi endelea naye kama girlfriend na boyfriend kisha mpige kibend hapo wazazi watalegea na kutoa baraka zote zingatia
  3. M

    Mwandishi wa habari Redio Kwizera-Kibondo Issa Ngumba atekwa na kuuawa

    No equality complitely in this world perhaps somewhere else''''
  4. M

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Hakika tunaitaji mabadiliko ya haraka,maana nchi haina viongozi bali majizi yanayogawana mali za umma kweupe,chadema tumaini jipya, kwa maendeleo ya kisasa, kwa viongozi makini
  5. M

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Staili hii ya kutesa, kuuwa, kujeruhi,kudhurumu ardhi,kutotoa elimu bora bali bora elimu, na mengine mengi,mungu ibariki chadema
  6. M

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Serikali inahusika n aunyama huu,Hata darasa la pili anatmbua hilo,mmebakiza miaka mitatu ya kutuua,mkishindwa mjiandae kulipa roho mnazozitesa,na kurudisha mali ya umma
Back
Top Bottom