Recent content by MtanzaniaOG

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    Waje hapa kugombea sukari na siye na kulala giza kila siku???
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Una hoja kwamba wanaegesha maeneo yenye kuuza vyakula vya hovyo visivyoendana na bei pamoja na mazingira machafu. Ila huna hoja, kuhusu vyakula kuwa ghali 5,000 hadi 10,000 ni ghali? Unataka ule kwa 2000 au 3000???
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Sehemu wanapopark sio bei kubwa bali ni sehemu ambayo ina mazingira machafu and thereisnt value for money. Sasa unaposema ni sehemu za ghali ni wapi? Be specific. Mimi ninamshauri Mzee Shabiby atengeneze migahawa yake. Sasa mkuu wewe unaweza kula migahawa ya kwenye airports kweli wewe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Nimeshindwa kuifungua, pia picha nyingi huwa zikitumwa JF huwa siwezi kugungua na zipo ambazo huwa zinafunguka zenyewe, what could be a problem?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Vijijini ni mbaya sana

    Ninashauri mleta mada atoe taarifa kamili kwa Mh. Waziri Gwajima ili hili suala lifuatiliwe. Nenda private toa Taarifa kamili, kusema tu kijiji cha Kiparang'anda Mkuranga bado haitoshi kuweza kifuatilia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

    Ninafahamu hapigi simu kweli, point yangu ni kwamba inasemekana anashangilia vile kutuma ujumbe kwa waliomfanyia hivyo, ndio nikasema kama anafanya hivyo kweli maana yake bado ana kisasi au chuki moyoni na kama hivyo ndivyo basi ndio maana nimeandika hivyo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

    Sasa anampigia ili nini? Anamdai? Kama hamdai na yupo Yanga amesettle si atulie tu aendelee na mambo yake? Afterall ameshafikisha ujumbe kama ni kweli walimfanyia hivyo. Sasa ataendelea kuwapigia hadi lini? Pia, dunia ni mzunguko. Mkataba unaweza kumalizika Yanga na siku moja Wakakutana na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Ni afadhali wapaki sehemu ya bei ya juu ila huduma ziwe zinaendana na wanachotoa. Utatumia hela nyingi ila utakula vizuri. Ila pia mabarabarani tunaposafiri chakula ni kati ya Sh. 5,000 hadi 10,000 sasa haya ndio mambo ya kulalamika kwamba bei ni juu kweli??? Naona bundles zimekuwa bei rahisi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Upo sahihi alichoandika mleta mada ni tofauti na uhalisia. Shabiby ni gari yenye standard fulani hivi ya juu ila pale wanaposimama Morogoro karibu na Midland Hotel ni pa kichovu sana. Sina uhakika kama Management ya Shabiby huwa wanasimamia kila kitu ninahisi hili wamewaachia madereva na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona jana CRB na Utopolo

    Wamechanganyikiwa wasamehe bure...anasema mambo 10 anaandika 5 tena kwa kuruka ruka...kaanza 1, 2, 4, 5, 5[emoji1787][emoji1787]
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

    Tupo aisee...mimi pia nimekuwa nikitafuta mchumba ili nikipendezwa na tabia yake basi nimuoe. I am a muslim gentleman with 38 yrs. Ni kiongozi katika Serikali hii na katika Taasisi nyeti.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la kocha Wa Belouzidad kutaka kuzichapa na mchezaji wake, limenikumbusha tukio la Mohamed Hussein na Manula-Novemba 5

    Sijapenda namna Pacome alivyokuwa anambidua bidua yule kipa....yule naye ni binaadamu angevunjika nyonga je?
  13. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Pacome kamchosa sana yule kipa kamgeuza geuza kama chapati
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    Mbona hao ni wapare au umekariri?
Back
Top Bottom