Wafanyabiashara toka Kenya ndio chanzo. Wafanyabiashara toka Kenya wamekuwa wakijipenyeza kwa siri hadi mashambani kwa wakulima na kununua mazao Kama mahindi vitunguu na vyakula vingine kwa bei za juu ambazo huwafanya wafanyabiashara Wa ndani kushindwa kipata bidhaa kwa bei ya kawaida.
Hivyo...
Please kokote uliko..andaa Picha passportsize 2 na Tshs 10000. Kisha nenda Maktaba kuu ya mkoa unakoishi..kawaombe ujiunge uanachama Wa maktaba...watakupayia maelekezo mengine.ukishapata uanachama wasiliana nami kwenye hii thread yako...nitakusaidia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.