Vitabu Vinavyoonesha Majukumu ya Kisheria ya V.E.O na W.E.O

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Mada hapo juu yahusika.Naomba mwenye kuuza,au hata kunionesha ni wapi naweza kuvipata vitabu vinavyoonesha majukumu ya kisheria ya:
a)Afisa Mtendaji Kijiji-V.E.O
b)Afisa Mtendaji Kata-W.E.O
c)Mratibu Elimu Kata-W.E.C
Ningependa kuvipata vitabu hivi vinavyoonesha majukumu na mipaka ya utendaji wa hawa watendaji wa serikali za mitaa!
Iwe ni Tovuti au Duka ninapoweza kuvipata,ningependa kujilishwa!
Natunguliza Shukrani
 
Nahitaji Msaada zaidi,plz?
JD za VEO na WEO zimeanishwa kwenye waraka wa utumishi wa Umma kuhusu miundo ya watumishi Hao,

Nenda kwa DHRO atakupatia waraka huo , huwez kuupata sehem nyingine yeyote!

Aidha, tafuta "Local government laws, revised edition ya 2000

Tafuta local government act of 1982,
 
Mada hapo juu yahusika.Naomba mwenye kuuza,au hata kunionesha ni wapi naweza kuvipata vitabu vinavyoonesha majukumu ya kisheria ya:
a)Afisa Mtendaji Kijiji-V.E.O
b)Afisa Mtendaji Kata-W.E.O
c)Mratibu Elimu Kata-W.E.C
Ningependa kuvipata vitabu hivi vinavyoonesha majukumu na mipaka ya utendaji wa hawa watendaji wa serikali za mitaa!
Iwe ni Tovuti au Duka ninapoweza kuvipata,ningependa kujilishwa!
Natunguliza Shukrani
1457437515184.jpg
 
Back
Top Bottom