Recent content by Mtanzania Ril

  1. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje ugonjwa wa Rais haukutangazwa wakati alipokwenda Marekani?

    Eti walificha.sijui walikuwa na maana gani.au ndo mambo yetu yale ya kiswahili,ukisafiri usiage.mkwereee!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Media imehama

    Kwahiyo cku hizi saratani ndio tezi dume?jamani mi simuelewi kabisa mista prezidenti
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwl.Nyerere Vs Kikwete katka Uteuzi wa Maneno

    Twende kwenye escrow bana.mi mambo ya mkojo mavi hayanihusu.ananichosha tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Eti ni kansa stage ya pili.mi mbona simuelewi hapa.Kiruuu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania bunge halionyeshwi tusikilize hadithi za rais wodini.

    Na kidonda chake awahi dodoma tu.mana nchi ipo chini ya kichuguu.ni majanga tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Mi mwenzio nimeshaelewa kumbe tezi dume si busha au ugonjwa wa madafu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Khe!kumbe tezi dume si busha?Jk ndio kasema muda huu.kwikwikwiiiiii!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umejiandikisha kwenye daftari la makazi?

    Mi leo nimechelewa kuingia kazini ili nijiandikishe.nimemchukua hadi house girl wangu.safari hii sitaki mchezo kabisa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Majanga.anazidi kunipa hasira tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Huwezi kuingia kingi bila kula kete!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Nimekusoma vizuri mkuu.OVER!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikusimamisha mgombea uenyekiti bunge la katiba?

    Haimaanishi hivyo ndugu.si kila kitu Chadema wanaweka upinzani.wameangalia jinsi Sitta anlivyoendesha vikao vya bunge hapo nyuma.na wakaamini wakimpa nafasi ktk bunge la katiba mambo yataenda vizuri.
Back
Top Bottom