Inakuwaje ugonjwa wa Rais haukutangazwa wakati alipokwenda Marekani?

ukara

Senior Member
Jun 28, 2014
187
250
Kwanini wananchi waambiwe ugonjwa wa Rais wakati yuko nje ya nchi ili hali vyombo vya habari nchini vilitangaza kuwa Rais ana ziara nchini Marekani? Kulikoni? Ni mtazamo tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom