Recent content by mtanzania mpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatua tatizo la uume mdogo

    Utaua vijana nguvu za kiume wewe ,hapo dawa ni kufanya mazoezi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Milioni 20: Wastani wa kiasi cha fedha ambacho mwanamuziki Diamond huingiza kwa siku

    Mungu amsaidie asiwe na majivuno tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Benki zadaiwa kusitisha mikopo kwa watumishi wa umma kwa muda usiojulikana!

    Pole ,lazima kila mtu kula kwa jasho lake
  4. M

    JamiiForums Tanzania Duka la Madawa(MSD) linapokuwa Chato na Ruangwa na sio Geita na Lindi

    Mnataka yasijengwe uko ? Acheni maendeleo yawasogelee wananchi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ituambie, dalali wa Ndege za ATC ni nani na kalipwa kiasi gani kamisheni?

    Yani wewe kama unafikili lazima kila bihashara kuna cha juu basi serikali hii inabidi ujipange sana asee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene, aagiza mkuu wa shule ya Mbeya Day ashushwe cheo

    Ila kuhachishwa kazi kwa mkuu wa kazi kwa naona sio poa kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli gharama ya kiti kimoja cha uwanja wa taifa ni Tshs. 200,000/=

    Mm kwa mtazamo wangu inawezeka bei ikafika kama itafanya kwa kanuni za manunuzi,lla kama utafanya kwa kuweka kwa njia za mtaani hazifiki
  8. M

    JamiiForums Tanzania Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

    Hapa bongo upinzani bado sana maana hata wanaoonekana wanamwelekeo wa kuwa wapimzani wa kweli lupia ikipita chali, Prof alisahau nini uko CUF !?... Wanavuluga upinzani ili 2020 mkulu apite bila upinzani wa kweli?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kiongozi masikini hawezi kuitajirisha nchi

    Piga kazi acha lawama kijana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli heshima kwako, masista du, wamenyooka!

    Hatari sana kazi tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Waziri mzima unampelekaje mkeo ATCL?

    Amuwezi kuelewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Walimu shule za msingi wapewa siku tatu hadi saba warudi katika vituo vyao vya kazi

    Uyo ajielewi,aanze ajenge nyumba ndio aje na hayo matamko yake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usahihi: Ndege zimenunuliwa na Kodi za Wananchi si vinginevyo!!

    Mtoa mada Rais kawajibu watu kama nyie ambao mnapenda kubeza kwani hata kama ukikaa ni sawa sio kuja na mipasho ,Kwani kama rais angeamua kulipuuzia na kuliacha hilo simgechonga ngenga, Naona bora kuwa kimya kuliko kutuma post za kijinga hivyo, maana post kama hizi hazina maana ,maana kila mtu...
Back
Top Bottom