Habari!
Natumai mu wazima! Leo nataka kutumia jukwaa hili kuwakilisha kilio cha wastaafu wa shirika la reli Tanzania (TRC) ambao kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakifatilia mafao yao kwenye mashirika ya hifadhi za jamii bila ya mafanikio, sababu kubwa ikiwa ni kuwa shirika halikuwa likipeleka...
Habari!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza! Inahitajika Ofisi yenye uwezo wa ku-accomodate watu 30+ na eneo la Warehouse (Godown).. Viwe sehemu moja! Mitaa pendekezi ni kuanzia Mikocheni hadi Mwenge!
Kama una taarifa yeyote, au unaweza kutuelekeza tafadhali weka namba zako za simu hapa au...
Habari Wakuu!
Kutokana na kudorola kwa biashara, Nimeamua kufunga Stationary! Kuna items ambazo zimebaki na ningependa kuziuza kabla ya kufunga!
Nina Canon C-EXV33 Tonner 6 for imageRUNNER 2520/2525/2530
Pia nina Print Cartridge (Black) 8 for HP Laserjet Pro MFP M125, M127, M201, M225
Bei...
Ahsante kwa taarifa! Ndugu yangu si unajua tena ukiwa desperate! Kila post unayoona inaendana na education yako unatupia tuu! wakishakuita kama hivi ndo unaanza ku-dig ni kina nani...
Habari wakuu!
Naomba kujuzwa mwenye uelewa wowote kuhusu hawa jamaa wanaitwa Medicins Sans Frontieres (MSF).
Wameniita kwenye usahili na nimeona juzi waliita watu kama 100 hivi kwenye written test!
nini shughuli yao hapa tanzania? Ofisi zao zipo wapi? wanafanya nini tanzania?
Nawasilisha!
Habari!
Napenda nitoe shukrani zangu kwa wale wote walioamua kuchukua jukumu la kufuatilia ili kujua zaidi kuhusu nafasi tajwa! Baada ya majibu yenu nimefuatilia na kujua kuwa nimewahi kutoa taarifa kabla ya taarifa rasmi kufika ngazi za chini kabisa yani kwa washauri wa migambo wilaya na...
Nadhan tangazo limejieleza wazi! ila kwa msaada nitakujuza tena
Kwa taarifa zaid tembelea ofisi za mshauri wa mgambo wa wilaya zinazopatika ndani ya majengo ya ofisi za wakuu wa wilaya
What is your level of education? Am real doubting your understanding capacity! Who said anything about uncertainity? I placed an advert containing infos instead of doing what is directed, you started pledging for what you want! I asked you a que, tangu lini nafasi za kujitolea zinaekwa web, you...
Nadhan tangazo limejieleza wazi! ila kwa msaada nitakujuza tena
Kwa taarifa zaid tembelea ofisi za mshauri wa mgambo wa wilaya zinazopatika ndani ya majengo ya ofisi za wakuu wa wilaya!
Mwaka gani nafasi za kujitolea zimetangazwa kwenye tovuti? Anyway! Why don't you do as instructed and see if its a lie? Sometimes you have to have a little faith and give a trial on what you hear! Ama unaogopa na kwenye ofis za mshaur wa mgambo wa wilaya utapeliwa? Then why not give a trial if...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.