Wakuu natumaini hamjambo mnaendelea na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku......
Naomba mwenye uelewa na kozi tajwa hapo juu na chuo kinachotoa hiyo kozi kwa ngazi ya shahada anisaidie.....
Natanguliza shukurani...
Wakuu natumaini hamjambo mnaendelea na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku......
Naomba mwenye uelewa na kozi tajwa hapo juu na chuo kinachotoa hiyo kozi kwa ngazi ya shahada anisaidie.....
Natanguliza shukurani...
Wakuu natumaini hamjambo mnaendelea na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Naomba mwenye uelewa na kozi tajwa hapo juu na chuo kinachotoa hiyo kozi kwa ngazi ya shahada anisaidie.
Natanguliza shukurani.
Kuna wakati zijuwi huwa watu wanafukilia nn....
Ivi aliekuambia anaestahili kuendesha gari dogo ni mwanamke pekee ni nan?????
Mbna kuna vitu hao unaotaka wawe wa magari madogo wananafanya mambo makubwa zaidi ya wanaume.... chamsingi ni kipato chako ndo kitakuweka kwenye position unayotakiwa....
Wakuu natanguliza shukurani za dhati kwenu,
Pia nakuja na ombi juu ya kuifahamu kiundani hii gari ndogo toyota belta maana nimejichanga nataka kuwa na kausafiri .... lakini kabla ya kuchukua maamuzi ni gari gani naomba kujua raha na karaha ya hii gani maana kulingana na cc zake niliona kama...
Wakuu natumaini mko salama mnandelea na majukumu ya hapa na pale kwa lengo la kutafuta mkate wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye maada naomba kupata huu mtiririko wa elimu kwa profesor kwamba amepitia ngazi zipi na kwa miaka mingapi kwa kila ngazi.
Natanguliza shukurani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.