Recent content by Mtanganyika Huru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara juu, kupanda Julai kwenye bajeti

    Habari wadau, Habari za kuaminika kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya serikali zinasema sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimetumia gharama kubwa kupita kiasi mpaka kupelekea serikali kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wake kwa wakati. Habari zinasema pesa nyingi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamefunga goli la "kisigino"

    Haaaa haaaa haaaa mtatuvunja mbavu jamani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamefunga goli la "kisigino"

    Nasikia Mwigulu yuko marekani kusherehekea muungano feki wa miaka 50
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Nimeipenda sana hii...UKAWA msirudi nyuma mpaka kieleweke!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Live updates mkutano wa ukawa pemba

    UKAWA twanga kotekote mpaka haki ipatikane.....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tutaendelea kutumia mashine mpya kukusanya kodi

    Umeharibu hali ya hewa nchini unakimbilia kwenye EFDs,shame on you JK.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TBC iache mchezo huu mchafu

    Acha kupoteza muda wako kuangalia TBC mbona zipo nyingi tu za kuangalia..achana na hicho kipeperushi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

    Anasaka tonge....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

    Hata wasipolipenda wananchi wameshawajua kwamba wao ni intarahamwe kutokana na vitendo vyao vya kiintarahamwe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapumziko ya Siku za Kazi Yamezidi Kipimo Serikali na Chama Cha Wafanyakazi Do Something!!

    Muombe JK akuteue kwenye bunge la intarahamwe ukaseme...kwa sababu sisi haturudi tena kwenye bunge la intarahamwe!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushaidi wa uhusiano kati ya CCM na Interahamwe ni huu hapa!

    Wewe ulitaka ajisikieje? alichojisikia ndicho hicho alichopost,ma-intarahamwe bwana!!!!!!!!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

    Baba Askofu ameongea maneno ya busara sana... Intarahamwe hawataki kusikia ukweli huu!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wampongeza Rais Kikwete kwa Maendeleo wilayani Karatu

    Salva wakati mwingine anakuwa kiroba!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika anapokataa kusikia neno TANGANYIKA maana yake nini?

    Umepost point sana mtanganyika mwenzangu...naomba post yako itume kwa Mwigulu Nchemba.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid kapewa muda mrefu zaidi kuchangia bungeni.

    Sita ni mnafiki namba moja.. ameingia kwenye mtego ambao utamaliza hamu yake yote ya kuwa rais...
Back
Top Bottom