Recent content by Mtanana

  1. M

    Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Naomba kujua uko mkoa gani na huo mkaa unaotengeneza unatumia malighafi gani na kiwango cha uzalishaji kwa siku ni kg ngapi?
  2. M

    Kila mtu anajifanya mjuaji kwenye suala la bandari

    Mkuu kwa kuwa watu wote hatuwezi kuwa wanasheria wa Serikali,hii haimanishi kwamba hatuzijui sheria,na pia kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali haimaanishi kwamba yeye ndio anazijua sheria kuliko wengine,kama wewe umeamua kumwachia yeye basi usiwashawishi wengine wafuate msimamo wako,acha watu...
  3. M

    Tanzania na vifo tata vya watu bila Postmortem Wala kumhusisha Coroner

    Lini umeenda kupima uwezo wako wa kufikiri mkuu??? Majibu yake yanakuridhisha? Hawakuchakachua?
  4. M

    Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

    Punguza Copy & Paste. Ujifunze kuchuja kidogo,Hapa Chai ndo nyingi kuliko ukweli.
  5. M

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Pistol nayo ni bunduki mkuu!!
  6. M

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Umewahi kujiuliza kwamba bei HALISI ambayo inampa faida(Bei toa gharama za uzalishaji) mkulima anapouza mazao yake ni sh.ngapi kwa kilo? Isije kuwa miaka nenda rudi tumezoea kumuona mkulima ni mtu anakandamizwa tu kwa kutumia gharama kubwa bila kupata faida kila anapofanya uuzaji wa mazao yake...
  7. M

    Namba za Ofisi za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs) kwa mikoa yote

    1.RTO= Region Traffic Officer( Mkuu wa usalama barabarani ngazi ya Mkoa) 2.OCD = Officer Commanding in District( Mkuu wa Polisi Wilayani) 3.OCS= Officer Commanding in Station ( Mkuu wa kituo) 4.OC CID= Officer Commanding in Criminal Investigation Department( Mkuu wa kitengo cha upelelezi...
  8. M

    Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000

    $50 (mita na cut out) = Tsh 50 × 2,355 = Tsh 117,750. Ongeza gharama ya waya hapo kulingana na urefu wa eneo husika. Watu wetu wa Tanesco mngetusaidia sana kama mngekuwa mnaweka mchanganuo wa gharama za kila kitu mnachohitaji kutumia. Mfano, gharama ya waya (wa mm kadhaa) kwa kila mita ni...
  9. M

    Kwenda Dodoma saa tatu; kwenda Dar saa tano, tatizo ni nini?

    Dar- Moro ni 185km. wakati Moro -Dom ni 260Km.Hivyo unaweza kujionea kuwa Dar - Moro ni karibu kuliko Moro -Dom.Barabara mbovu kati ya Dar - Moro na wingi wa magari katika kipande hiki ndo sababu za msingi.
  10. M

    Ushauri kuhusu Solar Bora

    Naunga mkono hapa.
  11. M

    RC Mtaka anaponzwa na sifa kutoka mitandaoni

    Hii comment nayo ni takataka!.Rais hayuko juu ya Sheria kama kuna mahali amekosea kumpinga sio kosa mkuu.Suala linakuja njia na utaratibu utakaoweza kuutumia kumpinga Rais
  12. M

    Ushauri kuhusu Solar Bora

    Nunua Monocrystaline panels aina ya Solarworld ya Germany ,Canadian au nyinginezo.Kama uko Mwanza hawa wanaouza wanaitwa Zara Solar Ltd.
Back
Top Bottom