Recent content by Mtamile

  1. Mtamile

    Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

    Ni kwa sababu hana tonge mdoni ukifika mda akameza tonge hutamsikia akiongea hii lugha
  2. Mtamile

    Dada wa IMTU University njoo uniombe radhi, wakati ndio huu

    Umeshamaliza dozi lakini hapo Milembe?
  3. Mtamile

    Hivi huyu Joti huwa anawachekeshaje watu?

    Inawezekana wewe hakuchekeshi ila kuna anao wachekesha watu sio maroboti kwamba watachekeshwa na kichekesho cha aina moja
  4. Mtamile

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Pumzika kwa amani mzee wa kilalacha
  5. Mtamile

    Dkt. Tulia Ackson alilenga nini kupotosha kuwa mhimili mmoja ni mkubwa kuliko miingine? Alijikosha, alijipendekeza?

    Hakuna Sehemu Tulia kakosea alichosema Tulia ndio uhalisia nyingine ni porojo tu, raisi ni mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa Serikali na zaidi ni mwenyekiti wa chama, unamlinganisha na CJ au Spika kweli?. Hawa hazi zao ni sawa na mawaziri tu, kwanza hata shughuli zao za kila siku...
  6. Mtamile

    Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

    Huyu Magufuli alikuwa na nguvu kiasi mpaka leo yupo futi sita chiniya ardhi lakini bado anawatisha tuu??’!!
  7. Mtamile

    Huyu mume mpya wa Salma Msangi ni nani?

    Inawezekana alikuwa na akaunti mbili wameziunganisha
  8. Mtamile

    Nay wa Mitego na wimbo wake 'Mkuu ndugu yangu'

    Bangi tupu zikifungiwa wanaanza kuwalalamikia BASATA nyimbo za hovyo kabisa
  9. Mtamile

    Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

    Unachanganya Wasafi Limited na Wasafi Media
  10. Mtamile

    Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    Na haijafikisha hata miaka 15 unasikia sasa hivi kuna BBI kwa kifupi mara nyingi wanaoshinikiza au kupinga kwa katiba mpya ni wanasiasa ambao wengi wao huwa wanalenga kwenye kugawana madaraka mara nyingi huwa wanashughulika na Vipengere vinavyowasaidia kupata madaraka na namna watakavyogawana...
  11. Mtamile

    Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

    Huu mwandiko wako mbona kwa mbaali kama unafanana na wa Dorothy??
  12. Mtamile

    Khaligraph Jones is underated

    Nani kamu Underate? Apambane tu atafika anapopataka
  13. Mtamile

    GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Brother umesha-qualify kuwa Motivational speaker
  14. Mtamile

    Baada ya kifo cha Ruge Mutahaba (RIP)ndipo tunaona Joe Kusaga ni kama ‘anajitambulisha’ pale Clouds Media, je ni kweli alikuwa ‘amefunikwa’?

    Kipindi yupo Ruge, Kusaga mda mwingi alikuwa Dubai, baada ya Ruge kufariki sasa yupo bongo mara kwa mara kuna majukumu ambayo sasa hivi lazima yeye mwenyewe anatakiwa kuyafanya ambayo enzi za Ruge alikuwa anamaliza mwenyewe, pengine anahitaji mda kidogo kupata mtu anayeweza kubeba majukumu yote...
Back
Top Bottom