WENU MTAMBO1272019
Maana ya simu janja.
Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji(Andrew Nusca;20 AUGUST,2009).
Matumizi ya simu janja...
Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe
Na wenu, Mtambo 1272019
Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA
Maana ya ukosefu wa ajira.
Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
Maana ya Vitabu.
Neno kitabu/vitabu huweza kumaanisha maandishi yaliyoandikwa kwa mkono au mashine au kupigwa chapa katika kitu chochote na yakafunganishwa au kuwekwa kwa taratibu Fulani. Kitabu kina uwezo wa kuwa katika ukubwa wowote kutoka kurasa kumi hadi maelefu.(Mbena : 1972,1).ikumbukwe...
Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru.
Dhana hii potofu ya uongozi...
Putin anafanya na anasimamia anachokiamini,sio mnafiki kabisa,haweza uzuria kinafiki kwenye msiba wa aliye sababisha ukomunist kudondoka,hawezi kabisa,kumbuka ya kuwa Putin na ukomunist ni Damu Damu. So Mimi sioni kukuacha wafu wazikane
Wazo Bora Sana,. Ili afrika tujinasue kwenye utumwa wa kiuchumi na kisiasa,lazima mipaka hii ilyowekwa na wakoloniniondolewe na isiwe kikwazo kwa ustawi wa maendeleo ya ya waafrika
Wenu Mtambo Mtoka mbali
utangulizi.
Makala haya imeandikwa kwa kuzingatia tafiti mbalimbali zilizofanywa na wanazuoni,tume ya makweta (1982),taasisi ya haki elimu (2008),tamko la waziri mkuchika (2010), na mjadala unaoendelea saizi nchini kwetu juu ya lugha ya kufundishia na kujifunzia...
Rejea chapisho langu, linaloitwa 'haja ya kutumia lugha ya kiswahili katika kujifunzia na kufundishia" nadhani majibu sahihi utayapata ambayo yameenda sambamba na tafiti zilizofanywa na wataalamu. Lkn ngoja nimuulize muandishi,je china, urusi,Korea,ujerumani,japani na nchi nyingi zilzoendelea...
Kwenye vigezo na masharti umekataza" plagiarism " je, acknowledgment ya wataalamu waliwahi jadili hoja husika inaruhusiwa? Kwasababu mawazo mapya kabisa ni machache na Mara nyingne hamna, Bali tunaboresha kwa tathmini na uchunguzi wa wa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.