Recent content by MtamaMchungu

 1. MtamaMchungu

  Humphrey Polepole amechanganyikiwa ?

  Tangu kifo cha Jiwe, Polepole amekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa.... anakwenda tu hovyo.
 2. MtamaMchungu

  Mkuu wa Wilaya ya Bukoba apingana na wananchi wake, aunga mkono kumegwa kuunda mkoa wa Chato

  Mkuu wa Wilaya; mwakilishi wa Rais anapingana na Wabunge; wawakilishi wa wananchi.
 3. MtamaMchungu

  Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

  Ukweli ni kwamba chama kilitekwa. - Magufuli mwenyekiti.... According to Kikwete “Nilimtetea Magufuli watu walihoji hajawahi kuwa hata mjumbe wa shina iweje ghafla aje kuwa mwenyekiti wa chama. Nikawaambia ataweza kwani hahitaji shule,” Bashiru Ally Katibu Mkuu katoka UD huko Humphrey...
 4. MtamaMchungu

  Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

  Operation za CCM zinafanywa na Sirro. By the way, walivyoanza operation kwenye vyuo mliwaona wajinga, moto ulivyowaka mkaona njia pekee ni kufuta shughuli za siasa vyuoni.
 5. MtamaMchungu

  Tumemkosea wapi Rais kusifia six packs za wasanii kwenye shughuli za Urais?

  It's a human moment tu. Obama mwenyewe ashawahi kumsifia Kamala Harris wakati akiwa Attorney General wa California, "the hottest AG in the country"
 6. MtamaMchungu

  TANESCO yazitaja taasisi za Serikali kama changamoto kulipa bili

  Kwani hizo taasisi haziwekewi LUKU....
 7. MtamaMchungu

  Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

  Kwenye Richmond, Lowassa alimuuliza JK... "kuna kipi nilifanya ambacho ulikuwa hujui?" Anyways, hakuna jambo kubwa serikali inafanya bila Cabinet kulipitia na kujadili. Karamagi asingeweza kusaini mikataba ya madini na makampuni huko nje bila Rais na Cabinet kuwa na taarifa.
 8. MtamaMchungu

  Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

  Kumbe wakati wa Msimamizi wa malaika wizi ulikuwepo 🤔🤔🤔🤔. Mbona tunaambiwa umeanza baada kifo chake? 1
 9. MtamaMchungu

  Kwakuwa upinzani hauwezi kuchukua nchi, Kassim Majaliwa anafaa sana kuwa rais wa Tanzania 2025

  Huyu huyu aliyesema Rais yuko vizuri anaendelea kuchapa kazi, halafu juzi akawaambia wawekezaji waje kwa wingi umeme upo wa kutosha CCM wawe makini nae, wakimpa ticket anaweza anza kupiga kampeni za upinzani
 10. MtamaMchungu

  Dawasa: Mtambo wa Maji Makongo juu wawashwa na maji yaongezeka, Mabwawa 26 yaliyochepusha maji ya Ruvu yakamatwa!

  Ukiwa muongo unakosa aibu, tuna wiki ya 3 tunateseka, halafu unasema kuna mtambo ulikuwa umetulia tu 🙄🙄🙄
 11. MtamaMchungu

  Je, Tanzania sio salama? Hizi bunduki za nini?

  Huyo huyo "Hamza wa CCM"
 12. MtamaMchungu

  Je, Tanzania sio salama? Hizi bunduki za nini?

  Watanzania ni ma expert wa kila kitu. Anyways, ulinzi unaendana na mahitaji. Wewe unadhani Hamza angepata nafasi ya kudhuru viongozi wa juu asingeitumia?
 13. MtamaMchungu

  Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

  Kuna mtu wake wa karibu sana aliwahi kuniambia hii kitu nikajua ni umbea tu wa waswahili
 14. MtamaMchungu

  Je, Tanzania sio salama? Hizi bunduki za nini?

  Usalama wa Rais tusiujadili sana. Kikitokea chochote, utakuja kuuliza hapa hapa, walinzi walikuwa wapi; mbona hawakumlinda ipasavyo. By the way check mazishi ya Karume uone Nyerere alivyozungukwa na mabunduki
Top Bottom