Recent content by MTALIMBO100

  1. MTALIMBO100

    JamiiForums Tanzania vituo vya kazi kada ya afya.

    naona za maafisa mazingira tu na si za madaktari na wauguzi. au ndo hizo tuu???
  2. MTALIMBO100

    JamiiForums Tanzania Hatimaye orodha ya waliopata ajira za Afya yatoka

    sijaona majina ya madaktari na wauguzi ila naona ya maafisa mazingira tu! y?
  3. MTALIMBO100

    JamiiForums Tanzania Hatimaye orodha ya waliopata ajira za Afya yatoka

    jamani mbona mi naona majina ya maafisa afya mazingira tu? kwan mchanganuo upoje? na wale walio omba kama wauguzi ndo kusema hakuna?
  4. MTALIMBO100

    JamiiForums Tanzania Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    tupatie na sisi hizo natural sio unatumia pekeyako na huku wenzako wanaumia na makemikali!!
  5. MTALIMBO100

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Msimlaumu mwenzetu wadau. Kosa c lake ni kiwango kidogo cha teknolojia tulichonacho. Wengi wetu tunatumia simu za kichina kwa internet ambazo zina low capasity ya access. Hivyo tujitahidi bac kurahisisha hizo post ili tusaidiane zaidi!!
  6. MTALIMBO100

    JamiiForums Tanzania Helooooo!!!!

    helllloww,, jf. Ndo naingia hivo baada ya muda mrefu kuwa napepesa jicho tu kwa hii forum. But now, am innn!! Lets build our country. Nipokeeni wadau.
Back
Top Bottom