Faida za uvaaji wa condom wakati wa tendo la ndoa ni nyingi ikiwemo; ni njia ya uzazi wa mpango, kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa pamoja na magonjwa mengine yanayoambukizwa kwa maji maji ya mwili. Nikirejea swali lako, ukishiriki mapenzi kwa njia ya mdomo (kunyonyana) kuna hatari (risk) ya...
Ziko tiba mbalimbali ikiwemo 1. Kuchoma kwa baridi (cryotherapy) ambayo inapatikana baadhi ya hospitali kitengo cha magonjwa ya ngozi, 2. Dawa za kupaka zinazochoma hivyo vifundofundo ila kuna maelekezo maalum ya kufuata na inachukua muda kiasi kwenye matibabu yake. Kwa ushauri, nenda hospitali...
Mkuu sababu za kupungua kwa damu ya hedhi zipo nyingi ikiwemo maradhi ya mwili, msongo wa mawazo, safari au kubadili mazingira kwa haraka, upungufu wa madini ya chuma mwilini, baadhi ya njia za uzazi wa mpango n.k. Wasiliana na mwenzio kuchunguza zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kwamba kiwango cha wanawake kujifungua kwa njia ya operation kimeongezeka miaka hii ya karibuni. labda nianze kwa kueleza kuwa operation ya kumtoa mtoto yaani "Cesarean section" inaweza kufanyika kutokana na sababu mbalimbali yaani "indications" kwa lugha ya kitaalam.
Hizi sababu zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.