Recent content by Mtaka yote

  1. M

    Mkoa wa Shinyanga UKAWA hawachukui hata jimbo moja

    Kuna watu kule me nlijua na wewe upo Shinyanga
  2. M

    Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

    Wewe unaongelea mkutano gani?mim nlikuwepo Bariad mkutanoni wakat Maguful akimwita chenge SHUJAA wa mabadiliko na hakutaja khs mahakama ya mafisadi anayoihubiri kwingne acha upotoshaji wa kwenye viblog
  3. M

    Magufuli kumnadi Chenge leo

    Leo Jp Magufuli atakua viwanja vya Halmashauri Bariadi jimboni kwa Andrew Chenge,jambo kubwa linasubiriwa ni namna atakavyomnadi Mtemi Chenge kw sababu kila anapopita JP anasema atapambana na wanaotajwa kua mafisadi nitawaletea kila kitu hapa
  4. M

    Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

    Baada ya sherehe ya kuagana na JK Karibia wasanii wote nguli leo wamejitokeza kumsapoti Magufuli kupitia kurasa zao kwenye mitandao ya kijamii,comments za mashabiki wao zimenifurahsha sana na moja wapo ni kua sasa watanunua CD feki za kaz zao ili kuwajibu Wasanii litazameni hili
  5. M

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    CCM wasijadanganye kutegemea kura za kanda ya ziwa,haziwez kuwa nyng kama za chaguz za nyuma...kwa ninachokiona hapa viwanja vya Furahisha Mwanza..mambo ni magumu,Kanda ya ziwa wamebadilika wanataka mageuzi
  6. M

    Msumari kwa vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu

    ,Mamlaka ya mawasiliano Tanzania chini ya mwongozo kwa vyombo vya habari,inasema vyombo vya habari havitaruhusiwa kutangaza tafiti za kukubalika ama kutokubalika kwa vyama ama wagombea zikibaki siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura!hivyo Kutoa matokeo ya utafiti wa nani anaongoza kuelekea...
  7. M

    Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    Huku tukiendelea kusubiri ile meli aliyoahd JK kabla hajatoka madarakan, JP Maguful ameibuka na ahad ya kutoa laptop kwa waalimu wote Tanzania ambao had sasa wanaidai serikali madai yao lukuki Washaur wa Maguful mshaurin atulie abak na msimamo wake wa kusubir ilan ya chama kwa sababu ahad za...
  8. M

    Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    Huku tukiendelea kusubiri ile meli aliyoahd JK kabla hajatoka madarakan, JP Maguful ameibuka na ahad ya kutoa laptop kwa waalimu wote Tanzania ambao had sasa wanaidai serikali madai yao lukuki Washaur wa Maguful mshaurin atulie abak na msimamo wake wa kusubir ilan ya chama kwa sababu ahad za...
  9. M

    CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Ritz Ungesubir hyo hatar kubwa ikadhihirika kwanza ndo ukaleta uzi wako mkuu
  10. M

    Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

    Kila ninapomsikia Magufuli akisema Sitawaangusha nabaki kucheka tu. Sote tunajua Magufuli anataka kuwa rais kwa 'ajali' tu..hana dira wala maono ya kiongozi mkuu wa nchi zaidi ya kusubiri ilani ya CCM kama anavyosema kila siku.Kwa kukosa dira binafsi ni wazi atatuangusha tu kwa sababu HAKUJIANDAA.
  11. M

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Nko Shinyanga mkuu watu wamehamasika na story kubwa ni huo mradi wa maji
  12. M

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    Wakazi wa Kanda ya Ziwa tunakumbuka sana juhudi za Edward Lowassa alivyofanikisha kutuletea maji kutoka ziwa Victoria baada ya kilio cha muda mrefu, tutatoa shukrani zetu kwake tarehe 25 Oktoba. Ziara yake ukanda huu yatakua mafuriko zaidi ya Dar,Karibu shujaa wetu.
Back
Top Bottom