Asante..hii inanifaa sana..kwakua mm ni mwalimu na ni mdau mzuri wa elimu nnapenda kuona sector hii inafanya vema...
Nitatuma application naamini ntafanikiwa kufanya kazi na jamii forum home of great thinkers
Kwa walimu wa dar tutafutane tuanzishe kituo jaman...mimi nna idea kama hii pia..kwa alie serious anicheki..taratibu za kusajiri kituo Nacte nazifahamu
Kwa walio serious tu...
Email yangu: ndanzi32@gmail.com
So hata kwa matendo.tu mshana jr
Sometimes wanaume wanakua wagumu kueleza hisia zao....na wengn uwa waoga au kua na impression tofauti juu ya mwanamke hata kama anampenda anaweza fikili she is out of his league...so mwanamke akiamua kufinguka si mbaya
...ila uwiii ukitolewa nje aibuuuuuu :-)
Hehe, we kaka mshari sana kwakweli...ila anyway kama unaona sina vgezo piga kimya
Wanaojua system ya elimu wanaelewa how it works...and by the way hyo pgde nmemaliza mwaka jana nkawa nafundisha chuo...huku nasoma MEM M.A. education management nmemaliza course work imebaki research...siku add izo...
Midadi ni hali involuntary act..inamtokea mtu anapoangalia act mfano kwny tv anajikuta na yy anaimitate au anaiga kile anachokiona...
Jaman tuwe serious mtu anapoiliza jambo nyinyi mwaleta mzaha :-[:-[
Jamani mimi ni mwalimu natafuta kazi ya kufundisha kwenye vyuo vya ualimu diploma au certificate, nna bachelor ya literature na post graduate ya ualimu
Nna experience ya kufundisha ya mwaka mmoja.
Wale wenye vyuo vya ualimu na wanaojuana wapi wanahitaji mwalimu naomba wanipm kwa mawasiliano...
Hehe, yan point umeilewa ukaamua uanze kucorrect spelling mistakes [emoji2] ...we bisha kataa ndo hivyo lakini...nmegraduate pale chuo chenu mnakiita chuo mama...hakuna jipya nliloliona..tena nmepata gpa kubwa ambayo hata undergraduate sikuipata..alafu mdai kufaulu udsm ni kazi. Wakati mitihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.